Hongera Paul Makonda kwa kupata mtoto wa kiume

Nmesikia kutoka kwa Dada mkuu kuwa hizo mbegu zimetoka China sasa cjajua Kama mtoto atadumu
 
Ndo raha ya uzazi wa mpango.
Una kuwa na mtoto unapojisikia wewe[emoji3]
 
 
Umofia Kwenu wana JF,

Ndugu Daudi Albert Bashite Alias Paul Makonda amepata mtoto wa kiume leo.Habari za kuvuja mke wake ana mimba ya kupandikizwa kutoka china zilivuja kwa mara ya kwanza kwenye page ya dada wa taifa.

Hongera sana Paul Makonda.
 
Maskini....kwahiyo mtoto ataendeleza jina la Makonda na sio Bashite

Dah
 
Hongera sana kwenu Mkuu wetu wa Mkoa

Baba Keagan (nice name)

Mola azidi kuwa nanyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…