Hongera Paul Makonda kwa kupata mtoto wa kiume

Hongera Paul Makonda kwa kupata mtoto wa kiume

Ivf" kwa msaada wa mbegu za michongoma kutoka kwa msamaria mwema [emoji23][emoji23][emoji23]
 
mwombeki yeye anasema kwa sababu anajua kuogelea kwa hiyo takwimu hazimuhusu😀
Umeninukuu tofauti mkuu, swala la DNA ni la kawaida kwa watu wote, ni ushauri tu maana takwimu za siku hizi sio nzuri, mbona ilikwepo taarifa baba ajiua baada ya kubaini baadhi ya watoto sio wake, so ni swala la kawaida sana kujiwekea ushahidi wa kisayansi, wala haina haja ya kufikiria negatively
 
Napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza kwa dhati Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda kwa zawadi ya mtoto wa kiume.

Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akukuzie na akuongoze umpe malezi bora ya kumpendeza yeye.

Hongera sana P Makonda.

Hongera zake, yeye na shemeji yetu.
 
Hana lolote ni wale walamba nyayo za makonda
walamba nyayo mnashida mnadhani kila mtu anafanana na nyie.

na pole kwa zama za ulokuwa unawalamba kuisha naona una hasira sana.

ni funzo pia kwamba zama zinabadilika.
 
Back
Top Bottom