Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Ukute jiwe kashafanya yake kanafanana nayetuone kapicha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukute jiwe kashafanya yake kanafanana nayetuone kapicha
Hana lolote ni wale walamba nyayo za makonda
Hahahaha nimekupata mkuu huenda ikawa sahihiHahaaa! Shemeji kaka hayupo ebu nisaidie chakula cha Usiku!
ndio maana Magu anafungia Lugha ya staha hauna.Ana msabwanda kama wa dingi yake?
kama nawaona kilivyowakaba mnatokwa mapovu tuNdio maana alikua hasikiki muda
Kumbe alienda tena China kumpandikiza uchungu huyo patna wake
tuone picha ssUkute jiwe kashafanya yake kanafanana naye
Kumbe mtoa uzi ndiye aliyezaaSafi sana. Napenda sana wanawake wanaowatetea waume zao namna hii. Hongera kwa kujifungua shemela...
kuna watu watapata shida sana na hizi taarifa.Keagan - A thinker; fiery.! Nice name..Hongera Paul..
Lugha zisizojulikana kwa wasiojulikanandio maana Magu anafungia Lugha ya staha hauna.
Umeninukuu tofauti mkuu, swala la DNA ni la kawaida kwa watu wote, ni ushauri tu maana takwimu za siku hizi sio nzuri, mbona ilikwepo taarifa baba ajiua baada ya kubaini baadhi ya watoto sio wake, so ni swala la kawaida sana kujiwekea ushahidi wa kisayansi, wala haina haja ya kufikiria negativelymwombeki yeye anasema kwa sababu anajua kuogelea kwa hiyo takwimu hazimuhusu😀
Umeishiwa pointiAhakikishe anasoma kwa bidii, bahati ya ujanja ujanja aliyoipata asidhani na huyo atairithi naye.
Hapa kijijini Kolomoje tunamtambua tunamtambua kama Albert Bashite.
Sasa huo ukoo wa Makonda, sisi hatuujui huku mkuu
Napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza kwa dhati Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda kwa zawadi ya mtoto wa kiume.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akukuzie na akuongoze umpe malezi bora ya kumpendeza yeye.
Hongera sana P Makonda.
walamba nyayo mnashida mnadhani kila mtu anafanana na nyie.Hana lolote ni wale walamba nyayo za makonda