Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mimi nimeona wanyama wamekuwa wengi. Halafu wana vurugu hasa hao pundamilia.
Nini hiki Sasa umeandika mkuu?Kiukweli hadi raha! Mimi napendekeza Rais Magufuli akae Ikulu hadi pale Mungu atakapoamua!