Hongera Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, Ikulu iwe kivutio cha utalii, restrictions ziondolewe watalii wafurike

Naomba kujua, wanawezaje kuwadhibiti wale aina ya ndege wasiruke na kwenda sehemu nyingine, eg magwepande!
 
Mkuu you are quoting the wrong person.

Mimi nimesadia kufafanua tu kauli ya mleta mada "tuta make zaidi"

Sija shauri Zoo ya Ikulu itumike kibiashara, alie shauri hivyo ni mleta mada.
 
Mke wa Mkapa katika KLM, fafanua kidogo mkuu.
 
Naona unamjaza.

Acha kumfanya mwenzio hajui kabisa fasihi kisa tu kasomea laboratory basic rules to the titration organic chemistry eboo..
 
Mzee Baba Dodoma vipi? Kwanini hao wanyama wasiende kupamba Ikulu ya Dodoma? Kuna kuhama Dar kweli? Au ndiyo kubanana hapa hapa, Dodoma mtasubili sana kwa mtindo huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo namba 1 huyo si ndiye aliwagawa wote hapo magogoni, mie tu ndiye sikupata hiyo bahati mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani Kaka naomba niwe Radhi sna nakuheshim sna ila kwa ili hpn acha kufikiria kupitia tumbo lako wakt ukifika utapata tu uraji ila sio kwa kujitoa Akili uku tna kwa msomi km ww tna wa sheria...
"uraji" ndiyo kitu gani hicho?
 

Mkuu Pascal, umeingiliwa na nini siku hizi lakini? Unajua tunakuheshimu sana humu ndani na hatutegemei mtu mwenye namna yako kuandika kichwa "Hongera kuipendezesha Ikulu kuliko enzi za Nyerere".

UKiwa na background ya uandishi wa habari, umeshindwa nini kuandika thread yenye titke "Hongera kwa kuipendezesha Ikulu"

Why does it have to be "kuliko enzi za Nyerere"?

Au umefanya hivyo kwa makusudi maalum? Is this a manifestation of fanaticism the like of which was promoted by Adolf Hitler during the time of Nazi Germany?
 
Kila zama na mambo yake.
 
Mimi napendekeza atawala tuu hata akifa basi maiti yake iwekwe pale ikulu ionekane wazi na akiwepo Rais mwingine baada ya Magufuli kuaga dunia basi aitwe "KAIMU Rais" kwa kweli itapendeza sana sana na nitakuwa na furaha kama hilo litafanikiwa.

Kwa sasa acha nikale chakula kizuriii kwenye hoteli isiyojulikana nikisubiri wazo langu lifanyiwe kazi.
 
unajua sana kumnanga MEKO ila anajifanya hakuoni huku anakusoma kwa jicho la😜
 
Hakuna Rais aliyejenga uchumi wa Tanzania kama mkapa.
Wewe jamaa hivi ulikuwa wapi kipindi ya Mwinyi waalimu walikuwa wanasota mtaani.

Mkapa alivyoingia akawaajiri wote.

Mtu ambaye kauharibu Uchumi kuliko marais wote ni Magufuli.
 
Mkuu leo umeamka vizuri. Naona humu kuna dawa na sumu au ile "kula ufe (trojan horse). Napendekeza waweke pia simba, chui na chatu ili watalii wafurike. Sio wazo baya hata kule Sauz ikulu ni moja ya tourist attractions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…