The African_giant
Member
- Jan 10, 2020
- 15
- 22
Humu ndani kuna raia wana IQ ndogo kweli...Yaani watu wanashindwa kabisa kung'amua bandiko la Paschal?. Inachekesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu you are quoting the wrong person.Ikulu ni mahali sensitive hauwez kupafanya Zoo bila mipango..usalama wa Mweshiwa lazima uimarishwe...eneo la ikulu ni dogo..kuruhusu watu kuingia na kutoka ni hatar kwa Raisi na uongozi mzima wa ichi...
Wenzetu marekani eneo la ikulu ni kubwa na kwenye usalama wapo vizur..kuliko sisi kwa asilimia kubwa
Kama kuna umuhimu wa kuifanya ikulu iwe na Zoo ya kutembelewa na wageni basi coverage ya ikulu iongezwe ili kuziya watu kuingia maeneo nyeti
Mke wa Mkapa katika KLM, fafanua kidogo mkuu.Orodha ya Maraisi wa JMTZ kwa ubora;
1.Mzee Mwinyi
1.Raisi Magufuli
2.Mwalimu Nyerere
3.Mzee Kikwete
4.Mzee Mkapa ( Mkapa ameshuka kuwa wa mwisho sababu ya ubinafsishwaji wa mashirika yetu, kuuza nyumba zetu, Mikataba mibovu ya Madini, Mke wake ktk KLM, mauaji ya Mwembechai na Pemba, ... vinginevyo angeweza kupanda)
Naona unamjaza.Wanabodi,
Leo kuna video clip ya Ikulu yetu ya Magogoni imepandisha humu, kiukweli nimekuwa very impressed na ile zoo ya Ikulu na jinsi wanyama walivyopendezea.
Kwenye mazuri wajameni tupongeze: Wanyama pori waipamba Ikulu, Hongera sana Rais Magufuli
Kiukweli hadi raha! Mimi napendekeza Rais Magufuli akae Ikulu hadi pale Mungu atakapoamua!
Sasa tuifanye Ikulu yetu kuwa kivutio cha utalii, vile vizuizi viondolewe, waweke nominal fee watalii hadi wa ndani tutafurika.
Ni muhimu sana rais Magufuli afanye safari muhimu za nje ili kupata exposure, akaone Ikulu ya South inavyofurika, pia aende Ikulu ya White House tena akiandamana na Makonda ili kumkomoa beberu Pompeo!, akaone jinsi wageni wanavyo jivinjari kwenye Ikulu ya White houseya Marekani. Hao wanyama na all the beauty ni bure kama watu hawatembelea na kuchangia upkeep cost.
Na kama hoja ya restrictions ni usalama wa rais, maana naona ulizi wake unakaribia wa Mu7, then Ikulu Zoo iwe open to public zile siku rais yuko Dodoma ambapo pia I hope kutakuwa na Chamwino Zoo. Kiukweli ita-make hata kuliko Chato!
Hongera sana Rais Magufuli kwa kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, pia tunakuombea utawale kwa muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10.
P
Huyo namba 1 huyo si ndiye aliwagawa wote hapo magogoni, mie tu ndiye sikupata hiyo bahati mkuuOrodha ya Maraisi wa JMTZ kwa ubora;
1.Mzee Mwinyi
1.Raisi Magufuli
2.Mwalimu Nyerere
3.Mzee Kikwete
4.Mzee Mkapa ( Mkapa ameshuka kuwa wa mwisho sababu ya ubinafsishwaji wa mashirika yetu, kuuza nyumba zetu, Mikataba mibovu ya Madini, Mke wake ktk KLM, mauaji ya Mwembechai na Pemba, ... vinginevyo angeweza kupanda)
Mkuu you are quoting the wrong person.
Mimi nimesadia kufafanua tu kauli ya mleta mada "tuta make zaidi".
Sija shauri Zoo ya Ikulu itumike kibiashara, alie shauri hivyo ni mleta mada.
"uraji" ndiyo kitu gani hicho?Samahani Kaka naomba niwe Radhi sna nakuheshim sna ila kwa ili hpn acha kufikiria kupitia tumbo lako wakt ukifika utapata tu uraji ila sio kwa kujitoa Akili uku tna kwa msomi km ww tna wa sheria...
"uraji" ndiyo kitu gani hicho?
Kwenye mazuri wajameni tupongeze: Wanyama pori waipamba Ikulu, Hongera sana Rais Magufuli
Kila zama na mambo yake.Pongezi ni nzuri lkn ukakasi unakuja pale unasema kuliko enzi za fulani. Kila enzi huwa na maboresho yake ,hata enzi za mawe hazikufanana, kulikuwa na early stone age, middle na baadaye late stone age.
Katika zote hizo kila moja ilikuwa bora zaidi ya iliyotangulia.
Huu ukakasi una implications za biasness, that's not good at all.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kisa CCM. Itakuwa kisa ukweli.Dada angu ushaga nitukana kisa CCM leo umehama au upepo wa kisurisuri tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi napendekeza atawala tuu hata akifa basi maiti yake iwekwe pale ikulu ionekane wazi na akiwepo Rais mwingine baada ya Magufuli kuaga dunia basi aitwe "KAIMU Rais" kwa kweli itapendeza sana sana na nitakuwa na furaha kama hilo litafanikiwa.Wanabodi,
Leo kuna video clip ya Ikulu yetu ya Magogoni imepandisha humu, kiukweli nimekuwa very impressed na ile zoo ya Ikulu na jinsi wanyama walivyopendezea.
Kwenye mazuri wajameni tupongeze: Wanyama pori waipamba Ikulu, Hongera sana Rais Magufuli
Kiukweli hadi raha! Mimi napendekeza Rais Magufuli akae Ikulu hadi pale Mungu atakapoamua!
Sasa tuifanye Ikulu yetu kuwa kivutio cha utalii, vile vizuizi viondolewe, waweke nominal fee watalii hadi wa ndani tutafurika.
Ni muhimu sana rais Magufuli afanye safari muhimu za nje ili kupata exposure, akaone Ikulu ya South inavyofurika, pia aende Ikulu ya White House tena akiandamana na Makonda ili kumkomoa beberu Pompeo!, akaone jinsi wageni wanavyo jivinjari kwenye Ikulu ya White houseya Marekani. Hao wanyama na all the beauty ni bure kama watu hawatembelea na kuchangia upkeep cost.
Na kama hoja ya restrictions ni usalama wa rais, maana naona ulizi wake unakaribia wa Mu7, then Ikulu Zoo iwe open to public zile siku rais yuko Dodoma ambapo pia I hope kutakuwa na Chamwino Zoo. Kiukweli ita-make hata kuliko Chato!
Hongera sana Rais Magufuli kwa kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, pia tunakuombea utawale kwa muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10.
P
unajua sana kumnanga MEKO ila anajifanya hakuoni huku anakusoma kwa jicho la😜Wanabodi,

Hakuna Rais aliyejenga uchumi wa Tanzania kama mkapa.Orodha ya Maraisi wa JMTZ kwa ubora;
1.Mzee Mwinyi
1.Raisi Magufuli
2.Mwalimu Nyerere
3.Mzee Kikwete
4.Mzee Mkapa ( Mkapa ameshuka kuwa wa mwisho sababu ya ubinafsishwaji wa mashirika yetu, kuuza nyumba zetu, Mikataba mibovu ya Madini, Mke wake ktk KLM, mauaji ya Mwembechai na Pemba, ... vinginevyo angeweza kupanda)
naona umeamua kuhamisha magori ili ufunge unapopataka.Sio kisa CCM. Itakuwa kisa ukweli.
ikulu ipi hiyooo? CHAMWINYOOOOO auu??🤣😂Ama kwa hakika Ikulu yetu imependeza kuliko.