KITAULO
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,926
- 2,797
Ikulu ni mahali sensitive hauwezi kupafanya Zoo bila mipango. Usalama wa Mweshimiwa lazima uimarishwe, eneo la Ikulu ni dogo, kuruhusu watu kuingia na kutoka ni hatari kwa Raisi na uongozi mzima wa nchiItaingiza pesa nyingi kuliko hifadhi ya Burigi-Chato.
Wenzetu Marekani eneo la Ikulu ni kubwa na kwenye usalama wapo vizuri, kuliko sisi kwa asilimia kubwa
Kama kuna umuhimu wa kuifanya ikulu iwe na Zoo ya kutembelewa na wageni basi coverage ya ikulu iongezwe ili kuziya watu kuingia maeneo nyeti