Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #21
Huyo Changu wa Enugu ni tapeli tuu,Kwa hiyo USA nao wanatusagia chupa kwenye huu utalii. Yule binti Mnaigeria kwenye sakata lake la kutaka kubakwa kahusisha Warusi mke na mumewe aliokimbilia chumbani kwao kujiokoa. Hivi vitu haviwezi kuwa vya kubahatisha. Sera yetu ya mambo ya nje ya kuwa vuguvugu iangaliwe.
Ninachojua sio kama hajaendanayo ila hataki ionekane anazitumia maana wabongo maneno ya shombo mengi! Bi mkubwa akiwa anatoka hapa nchini kwenda nje huwa anatumia ndege za Airtanzania ila hataki ipigwe picha, na mdiyo maana huwezi kumuona picha za Mh Rais akiwa anaondoka ila akiwa anarudi akiwa kwenye Emirates utamuona kachanganyika na abiria!Wanabodi
Hii ni Makala ya Jumapili ya Jana.
View attachment 2192033View attachment 2192060
Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!.
Usikose kuangalia uzinduzi huu mubashara kuanzia Saa ,1:30 usiku huu kwa saa za Marekani ambapo tumepishana masaa 7, hivyo kwa Tanzania itakuwa ni saa 8:30 usiku.
Paskali.
- Kwa sasa sekta ya utalii ndio sekta ya pili Kwa kuingiza Sana fedha za kigeni, na baada ya uzinduzi huu, sekta ya utalii ndio itaongoza.
- Tanzania ndio nchi inayoongoza Kwa vivutio vingi vya asili vya utalii, tatizo ni tulikuwa, hatujitangazi. Sasa ndio tunatangaza.
NB. Hili ni Bandiko mwendelezo
Bandiko la kwanza ni hili.
Bandiko la piliHongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN, Safari ya Kuzindua Filamu Yako ya Royal Tour, Tunaomba Tukusindikize, Dreamliner Yetu Itue New York
Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huwaletea mfufululizo wa makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni bandiko la pongezi na ombi. Pongezi ni kwa Rais Samia, kusafiri kwa kukwea pipa la watu, kwenda nchini Marekani, na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA. Ombi ni kwa...www.jamiiforums.com
Je, Uzinduzi Royal Tour ungekuwa na maana kama Rais Samia angetua kwa Dreamliner & ATC kuzindua Direct Flights from DAR-JFK-DAR/JRO-JFK-JRO?
Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya Leo ikiwa ni makala ya swali la hypothetical question (swali la kufikirika), Kwa njia ya "thinking aloud", yaani unawaza kwa sauti. Hii ni makala mwendelezo wa makala hii Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN...www.jamiiforums.com
Hongera na wewe bro Pascal kwa kuweka masilahi ya Taifa letu mbele.Wanabodi

Huyo Changu wa Enugu ni tapeli tuu,
alibuni scheme ya kupata US $ 10,000,
akasingizia kutaka kubakwa, hakupiga kelele, akamtuma mbakaji akachukue zana, mbakaji akakubali, alipotoka kuifuata zana, ndipo akajiokoa. Na kuiripoti akasema asipolipwa, atachafua. Wamshauri aende polisi, akaenda akakosa ushahidi. Tukio lilitokea mwaka uliopita.
P
Mara ya mwisho kwenda hapo ngorongoro ilikuwa lini?... picha la kitanzania linazinduliwa Marekani badala ya Tanzania; hii imekaaje?
And why kwa beberu Mkuu Marekani? Mnataka kuwaambua nini warusi wa Buza na wachina wa Kwa Mpalange vyama vyao rafiki na chama letu pendwa?
Tusubiri tuone. Ni suala la muda tu, punde tu tutajua mbivu na mbichi.Unafikiri filamu hiyo itatusaidia kwa kiasi gani..?
Ha ha haya majizi ni kuyasomea albadili tu. Viongozi wa hovyo kabisa.Fisadi🚶🚶🚶
View attachment 2192082
😂😂 mla mla leo, mla jana kala nini. Chosen angeweweseka vile kuitafta 2025?Mama is God chosen one.
Sent straight from Heaven.
She is a special gift to Tanzanians, Africans and all humanity.
Mayalla , Dreamliner haiendi kwa Maji inatumia mafuta!! Hali ya uchumi ni mbaya hivyo ni lazima Rais aoneshe kuwa analijua hilo kwa kuwa muangalifu katika matumizi yake.
Kama tumeamua kuutangaza utalii wetu kimataifa, hatuwezi kukwepa gharama!. Matangazo ya utalii kimataifa kama "Visit Rwanda" kwenye UK Premier League, pia hayatumii maji!. Juzi kati Watanzania kwa mamia walijimwaga Dubai kwenye Tanzania Day ya Expo Dubai, Watanzania tungekuwa mobilised, tungeliamsha Dreamliner letu tukatua na Mama New York!. Kama kanchi kadogo tuu kama Ka Rwanda, Air Rwanda inatua London, li nchi likubwa kama Tanzania, tunashindwa nini?!. Kajirani ketu haka KaKenya, KQ inatua JFK , sisi tunashindwa nini?.Mayalla , Dreamliner haiendi kwa Maji inatumia mafuta!! Hali ya uchumi ni mbaya hivyo ni lazima Rais aoneshe kuwa analijua hilo kwa kuwa muangalifu katika matumizi yake.
Sababu zinazokufanya usiende Oliver Tambo Airport ndio hizo hizo zinakufanya ushindwe kwenda JFK na Heathrow Airports!!! Wenzenu hawana baggage mliokuwa nayo; Kagame hategemei ushauri wa failed past presidents !Kama tumeamua kuutangaza utalii wetu kimataifa, hatuwezi kukwepa gharama!. Matangazo ya utalii kimataifa kama "Visit Rwanda" kwenye UK Premier League, pia hayatumii maji!. Juzi kati Watanzania kwa mamia walijimwaga Dubai kwenye Tanzania Day ya Expo Dubai, Watanzania tungekuwa mobilised, tungeliamsha Dreamliner letu tukatua na Mama New York!. Kama kanchi kadogo tuu kama Ka Rwanda, Air Rwanda inatua London, li nchi likubwa kama Tanzania, tunashindwa nini?!. Kajirani ketu haka KaKenya, KQ inatua JFK , sisi tunashindwa nini?.
P
Mama ame rithi a failed state kwenye baadhi ya maeneo, now ndio she is trying to the economy of this failed state, mdogo mdogo tutafika.Sababu zinazokufanya usiende Oliver Tambo Airport ndio hizo hizo zinakufanya ushindwe kwenda JFK na Heathrow Airports!!! Wenzenu hawana baggage mliokuwa nayo; Kagame hategemei ushauri wa failed past presidents !
Mama ame rithi a failed state kwenye baadhi ya maeneo, now ndio she is trying to the economy of this failed state, mdogo mdogo tutafika.
Maadam nimeisha jua on October Mama anatimba DC kwenye UNGA, tutaliamsha tuta timba nae!.
P