Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #21
Huyo Changu wa Enugu ni tapeli tuu,Kwa hiyo USA nao wanatusagia chupa kwenye huu utalii. Yule binti Mnaigeria kwenye sakata lake la kutaka kubakwa kahusisha Warusi mke na mumewe aliokimbilia chumbani kwao kujiokoa. Hivi vitu haviwezi kuwa vya kubahatisha. Sera yetu ya mambo ya nje ya kuwa vuguvugu iangaliwe.
alibuni scheme ya kupata US $ 10,000,
akasingizia kutaka kubakwa, hakupiga kelele, akamtuma mbakaji akachukue zana, mbakaji akakubali, alipotoka kuifuata zana, ndipo akajiokoa. Na kuiripoti akasema asipolipwa, atachafua. Wamshauri aende polisi, akaenda akakosa ushahidi. Tukio lilitokea mwaka uliopita.
P