Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!

Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!

Kwa hiyo USA nao wanatusagia chupa kwenye huu utalii. Yule binti Mnaigeria kwenye sakata lake la kutaka kubakwa kahusisha Warusi mke na mumewe aliokimbilia chumbani kwao kujiokoa. Hivi vitu haviwezi kuwa vya kubahatisha. Sera yetu ya mambo ya nje ya kuwa vuguvugu iangaliwe.
Huyo Changu wa Enugu ni tapeli tuu,
alibuni scheme ya kupata US $ 10,000,
akasingizia kutaka kubakwa, hakupiga kelele, akamtuma mbakaji akachukue zana, mbakaji akakubali, alipotoka kuifuata zana, ndipo akajiokoa. Na kuiripoti akasema asipolipwa, atachafua. Wamshauri aende polisi, akaenda akakosa ushahidi. Tukio lilitokea mwaka uliopita.
P
 
Wanabodi
Hii ni Makala ya Jumapili ya Jana.
View attachment 2192033View attachment 2192060
Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!.
Usikose kuangalia uzinduzi huu mubashara kuanzia Saa ,1:30 usiku huu kwa saa za Marekani ambapo tumepishana masaa 7, hivyo kwa Tanzania itakuwa ni saa 8:30 usiku.
  1. Kwa sasa sekta ya utalii ndio sekta ya pili Kwa kuingiza Sana fedha za kigeni, na baada ya uzinduzi huu, sekta ya utalii ndio itaongoza.
  2. Tanzania ndio nchi inayoongoza Kwa vivutio vingi vya asili vya utalii, tatizo ni tulikuwa, hatujitangazi. Sasa ndio tunatangaza.
Paskali.
NB. Hili ni Bandiko mwendelezo
Bandiko la kwanza ni hili.
Bandiko la pili
Ninachojua sio kama hajaendanayo ila hataki ionekane anazitumia maana wabongo maneno ya shombo mengi! Bi mkubwa akiwa anatoka hapa nchini kwenda nje huwa anatumia ndege za Airtanzania ila hataki ipigwe picha, na mdiyo maana huwezi kumuona picha za Mh Rais akiwa anaondoka ila akiwa anarudi akiwa kwenye Emirates utamuona kachanganyika na abiria!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi
Hii ni Makala ya Jumapili ya Jana.
View attachment 2192033View attachment 2192060
Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!.
Usikose kuangalia uzinduzi huu mubashara kuanzia Saa ,1:30 usiku huu kwa saa za Marekani ambapo tumepishana masaa 7, hivyo kwa Tanzania itakuwa ni saa 8:30 usiku.
  1. Kwa sasa sekta ya utalii ndio sekta ya pili Kwa kuingiza Sana fedha za kigeni, na baada ya uzinduzi huu, sekta ya utalii ndio itaongoza.
  2. Tanzania ndio nchi inayoongoza Kwa vivutio vingi vya asili vya utalii, tatizo ni tulikuwa, hatujitangazi. Sasa ndio tunatangaza.
Paskali.
NB. Hili ni Bandiko mwendelezo
Bandiko la kwanza ni hili.
Bandiko la pili
Hongera na wewe bro Pascal kwa kuweka masilahi ya Taifa letu mbele.
 
Huyo Changu wa Enugu ni tapeli tuu,
alibuni scheme ya kupata US $ 10,000,
akasingizia kutaka kubakwa, hakupiga kelele, akamtuma mbakaji akachukue zana, mbakaji akakubali, alipotoka kuifuata zana, ndipo akajiokoa. Na kuiripoti akasema asipolipwa, atachafua. Wamshauri aende polisi, akaenda akakosa ushahidi. Tukio lilitokea mwaka uliopita.
P

Hayo matukio yote ni dots, kwani kulikua na tatizo gani kama angejinufaisha kwa usd 10 000 kwenye huo mpango na akapata faida mtambuka? Unafikiri sera ya kutofungamana upande wowote ilianza lini? Wanaifurahia? Huyu alichofanya ametengeneza silaha ya kijasusi ambayo inatumika kila fursa ikijitokeza.

Kwangu haingii akilini katika wageni wote waliokuwepo hapo hotelini akutane na hiyo couple ya Warusi. Ajue chumba chao kilipo ili baadaye usiku akivamiwa akitumie kujiokoa. Amrekodi huyo mrusi kwenye hiyo video clip aliyotoa kama moja ya ushahidi watukio. Arekodi kituo cha polisi na baadhi ya matukio. Aweze kuprotect hayo matukio yasifutwe /deleted pamoja na kuwa polisi walijua aliwarecord. Maandamano ya Paris yapigiwe chapuo na RT ambayo ni affiliated na Russia, asubiri kutoa malalamiko yake kupre-empty royal tour. Maswali ni mengi mengi kuliko majibu. Hivi ni kila raia duniani anaye jua kukroo akijiokoa?!
 
hakuna kitu hapo, wenzake wanafanya wakiwa vijana ona akina wema sepetu, uwoya, lulu.....au kuna mtu anataka aweke rekodi kwamba naye alikuwa mcheza filamu wakati umri unasoma hasi??. Nahisi huku mbeleni tutasikia kuna mtu anataka kugombania umiss world, mambo haya yanatamaniwa sana na hawa watu ila wanakosa nafasi tu, kama itatokea pambano la miss world kwa viongozi wa kiserikali tusishangae mtu wetu mkubwa akaingia kwenye kinyang'anyiro hicho. Yetu macho tunatizama hadi mwisho hizo movie
 
... picha la kitanzania linazinduliwa Marekani badala ya Tanzania; hii imekaaje?

And why kwa beberu Mkuu Marekani? Mnataka kuwaambua nini warusi wa Buza na wachina wa Kwa Mpalange vyama vyao rafiki na chama letu pendwa?
Mara ya mwisho kwenda hapo ngorongoro ilikuwa lini?
 
Pascal umeiona ripoti ya C.A.G kuhusu ule uwanja wa ndege wa msukuma mwenzako??.
 
Leo ni hakuna kulala, few minutes to go!. Haya mambo ya kutembeza na Joni Mtembezi. sijui!. Ikitokea hamjaona update yangu, mjue mwenzenu nimezimika!.

P
 
Amejaribu lakini sina uhakika kama SSH ana uwezo wa kutangaza utalii Marekani na kufanikiwa, wangemlipa Kim Kardashian atutangaze nina uhakika tungepata watalii wa kutosha
 
Mayalla , Dreamliner haiendi kwa Maji inatumia mafuta!! Hali ya uchumi ni mbaya hivyo ni lazima Rais aoneshe kuwa analijua hilo kwa kuwa muangalifu katika matumizi yake.
Kama tumeamua kuutangaza utalii wetu kimataifa, hatuwezi kukwepa gharama!. Matangazo ya utalii kimataifa kama "Visit Rwanda" kwenye UK Premier League, pia hayatumii maji!. Juzi kati Watanzania kwa mamia walijimwaga Dubai kwenye Tanzania Day ya Expo Dubai, Watanzania tungekuwa mobilised, tungeliamsha Dreamliner letu tukatua na Mama New York!. Kama kanchi kadogo tuu kama Ka Rwanda, Air Rwanda inatua London, li nchi likubwa kama Tanzania, tunashindwa nini?!. Kajirani ketu haka KaKenya, KQ inatua JFK , sisi tunashindwa nini?.

Sababu zinazokufanya usiende Oliver Tambo Airport ndio hizo hizo zinakufanya ushindwe kwenda JFK na Heathrow Airports!!! Wenzenu hawana baggage mliokuwa nayo; Kagame hategemei ushauri wa failed past presidents !
 
Mama ame rithi a failed state kwenye baadhi ya maeneo, now ndio she is trying to the economy of this failed state, mdogo mdogo tutafika.

Maadam nimeisha jua on October Mama anatimba DC kwenye UNGA, tutaliamsha li Dreamliner letu, na tutatimba nalo US huku tukitamba nae!.
P
 
Mama ame rithi a failed state kwenye baadhi ya maeneo, now ndio she is trying to the economy of this failed state, mdogo mdogo tutafika.

Maadam nimeisha jua on October Mama anatimba DC kwenye UNGA, tutaliamsha tuta timba nae!.
P

She is partly responsible for the failure of the state and she does not seem to know how to get out of the woods!!

Waamerika sio watu wazuri kuwazoea kwani watakuthamini pale tu wanapokuwa wanakutumia baada ya hapo wanakutosa!! Mama sidhani kama analijua hilo. She should acquint herself with history.
 
Back
Top Bottom