Hongera Rais Samia kwa kuivusha salama Tanzania mwaka 2023, hakika unaweza, Tanzania ni Mhimili Mkuu wa Afrika Mashariki

Hakuna kiongozi hapa. Tumevuka kwa kudra za mungu. Kwanini asiondoke hata leo?ni Wa hovyo kuliko hata hovyo yenyewe.
Jitu la hovyo alikuwa JPM, alikuwa anakaza fuvu halafu kichwani sifuri
 
Mwaka wa 3 huu Wapinzani wake Wanasiasa tuu
 
Jinga sn, kwamba yeye ndiyo anatupa pumzi? shame on you amekuvusha salama wewe na mumeo
 
Hqkuna alichofanya cha maana,hakuna Sera, yoyote ya maana, aliyoweka ikaja na matokeo chanya, hata angekwenda kizimkazi akakaa huko alee wajukuu zake, tungefika tu 2024! Sie kumaliza 2023,has nothing to do with samia, as far as we are concerned, this country would have been much better without, Her and Maghu!
 
Mama anaupiga mwinjiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Attachments

  • IMG_1204.jpeg
    47.3 KB · Views: 1
Kufanya dolla iwe bidhaa adim
 
Shida ya uchawa huna tofauti na wauza mboga wa kimboka by night...unasifia ujinga sukari kg 1 sasa hivi ni sh 5000 toka sh 2900...wewe unashida ya afya ya akili kama mwenyekiti wako
 
Shida ya uchawa huna tofauti na wauza mboga wa kimboka by night...unasifia ujinga sukari kg 1 sasa hivi ni sh 5000 toka sh 2900...wewe unashida ya afya ya akili kama mwenyekiti wako
Mkulazi inafunguliwa soon, bei itashuka, hata wewe mumeo atakuona mtamu kwa kuwa utatumia sukari kwa wingi
 
Mkulazi inafunguliwa soon, bei itashuka, hata wewe mumeo atakuona mtamu kwa kuwa utatumia sukari kwa wingi
Shida ya kufukuliwa chemba huwezi kua na akili,endelea kukata unoo utapata kibendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…