Hongera Rais Samia kwa kuivusha salama Tanzania mwaka 2023, hakika unaweza, Tanzania ni Mhimili Mkuu wa Afrika Mashariki

Acheni Uchawa ninyi.
Eti ameivusha salama.
Yeye ni Mungu???

Dunia imeenda kuvuka salama pamoja na mikwamo mingi.
 
Sisi wanyaji wa mvinyo Monona mama ametusahau??? ,bia za kawaida kutoka 1000mpaka 1800 mpaka 2500 ?? Tena ni hizi mwendo kasi chuoa ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…