Mac Alpho JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 13,953 Reaction score 27,825 Mar 15, 2022 #41 Lord denning said: Shetani ni Shetani tu! Full stop Click to expand... Hapo CCM wote ni Mashetani, tena acha ikae hivi "wanasiasa wote ni mashetani". Tena ogopa sana shetani mwenye jinsia ya kike.
Lord denning said: Shetani ni Shetani tu! Full stop Click to expand... Hapo CCM wote ni Mashetani, tena acha ikae hivi "wanasiasa wote ni mashetani". Tena ogopa sana shetani mwenye jinsia ya kike.
A abulaaliyah77 JF-Expert Member Joined Oct 13, 2021 Posts 1,750 Reaction score 1,158 Mar 15, 2022 #42 Hujawahi na hutowahi kuwa na akili ww nguchiro Mac Alpho said: Sio wewe pekeyako kila mwenye akili ndefu hawezi kumuona huyo failure akitosha, akili ndogo ni ndogo tu. Majukumu aliyonayo ni makubwa kuliko akili zake. Click to expand...
Hujawahi na hutowahi kuwa na akili ww nguchiro Mac Alpho said: Sio wewe pekeyako kila mwenye akili ndefu hawezi kumuona huyo failure akitosha, akili ndogo ni ndogo tu. Majukumu aliyonayo ni makubwa kuliko akili zake. Click to expand...
Lord denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 15,819 Reaction score 33,255 Mar 15, 2022 Thread starter #43 Mac Alpho said: Hapo CCM wote ni Mashetani, tena acha ikae hivi "wanasiasa wote ni mashetani". Tena ogopa sana shetani mwenye jinsia ya kike. Click to expand... Hapana, Samia hana ushetani
Mac Alpho said: Hapo CCM wote ni Mashetani, tena acha ikae hivi "wanasiasa wote ni mashetani". Tena ogopa sana shetani mwenye jinsia ya kike. Click to expand... Hapana, Samia hana ushetani
J Johnny Sack JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 8,984 Reaction score 19,288 Aug 4, 2022 #44 Naam Mkuu.. akisikilize mahayawani