FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #21
Inabidi umsifie tu, anachapa kazi, hana muda wa kukufanya mjinga kukuaminisha maneno matupu.Huyo Samia atakuwa mpuuzi sana kama anafurahia kila siku kusifiwa na mjinga yule yule, hajiulizi hamna wajinga wapya wamsifie?
Au una macho lakini hayaoni?
Tuliaminishwa maneno hapa na kina Kabududi, alipoulizwa matrillioni tuliyosema watulipe hawa barick yako wapi mbona wamerudi tena kwa kishindo? Unakumbuka akajibu nini? Nakukumbusha "zile zilikuwa mbinu tu". Khaa! sasa kama zilikuwa mbinu tu anamaana zimeshindwa?
Matokeo yake, kesi kibao mahakamani wao walifikiri kukubaliana na barick ndiyo imekwisha kwa kuwa abricka na wao walikuwa wamiliki wa Acacia, hawakujuwa kuwa sheria kampuni ni mtu wa kipekee, wewe ukikubalina na Barick acacia hawakuingilii, uememalizana nao wameshaanza kazi, sasa acacia na vikampuni vyao vinhine vingine wameingia mahakama za kimataifa. Tunajambajamba hovyo.
Hiyo ndiyo ujinga wa kuamini maneno badala ya vitendo.