Hongera Rais Samia, matendo huongea kwa sauti kuliko maneno

Huyo Samia atakuwa mpuuzi sana kama anafurahia kila siku kusifiwa na mjinga yule yule, hajiulizi hamna wajinga wapya wamsifie?
Inabidi umsifie tu, anachapa kazi, hana muda wa kukufanya mjinga kukuaminisha maneno matupu.


Au una macho lakini hayaoni?


Tuliaminishwa maneno hapa na kina Kabududi, alipoulizwa matrillioni tuliyosema watulipe hawa barick yako wapi mbona wamerudi tena kwa kishindo? Unakumbuka akajibu nini? Nakukumbusha "zile zilikuwa mbinu tu". Khaa! sasa kama zilikuwa mbinu tu anamaana zimeshindwa?


Matokeo yake, kesi kibao mahakamani wao walifikiri kukubaliana na barick ndiyo imekwisha kwa kuwa abricka na wao walikuwa wamiliki wa Acacia, hawakujuwa kuwa sheria kampuni ni mtu wa kipekee, wewe ukikubalina na Barick acacia hawakuingilii, uememalizana nao wameshaanza kazi, sasa acacia na vikampuni vyao vinhine vingine wameingia mahakama za kimataifa. Tunajambajamba hovyo.


Hiyo ndiyo ujinga wa kuamini maneno badala ya vitendo.
 
Laiti kama Rais Samia angejaaliwa mdomo mdomo kama Watanganyika wengi sidhani kama angekamatika maana anafanya wonders nyingi sana Sasa hapo angeingiza na propaganda ndio kabisaa wangekuwa wanambeba mabegank Kila siku..

Naongea haya with confidence kabisa kwamba Kwa mda mfupi alioongoza Nchi ameleta mapinduzi makubwa across sectors Kuwahi kufanywa na Rais mwingine yeyote.
 
Naona una hororoja..
 
Angefuata Ushauri huo wala kungekuwa hakuna sababu ya Kupiga Propaganda wala kuwasihi watu waeleze huku na kule yanayaofanyika.., Wala wale Chawa wa Mama wangekuwa hawana sababu wala kazi ya Kufanya...; Lakini sababu uhalisia ni tofauti ndio maana badala ya kujiuza, kujitembeza kunakuwa kwingi....

 



Hivi wewe mbona huweki namba ya Simu? Nafikiri wewe watakuwa wamakufaham kwa jina la Jamii forum.

Haya, jitahidi kwa shughuli zako zakujipatia kipato Mama.
 
kwa kweli kwa kuuza bandari, kaongea tumemwelewa kuliko hata ukimya wake
 
Hivi wewe mbona huweki namba ya Simu? Nafikiri wewe watakuwa wamakufaham kwa jina la Jamii forum.

Haya, jitahidi kwa shughuli zako zakujipatia kipato Mama.
Hijazitaka tu, unataka namba zangu za simu?
 
Hijazitaka tu, unataka namba zangu za simu?

Nina Mke mzuri na ndoa ya miaka 17 kwa mke ambaye sijawahi mbadili, msikivu, mwema, ana akili na mtiifu.

Namba peleka huko kwenye teuzi....
 
Mna propaganda za kitoto sana kama watu wajinga. Unapiga picha awali halafu unaifanya ya tukio zima? Hawa ni nani?
Acheni ujinga na upuuzi!
 

Mama ni mwalimu wa siasa na muda ni hakimu mzuri
 
Hakuna cha kuamianishwa wala nini mambo ya hovyo yako mubashara, hata mwenye makengeza anaona
 
Hii picha yako ni ya mkutano wa chadema katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.

Sasa sijui umeiweka hapa ya kazi gani. Watu tunazungumzia mkutano uliododa wa kupinga kila kinachofanywa na serikali.
Mna propaganda za kitoto sana kama watu wajinga. Unapiga picha awali halafu unaifanya ya tukio zima? Hawa ni nani?
Acheni ujinga na upuuzi!View attachment 2700351
 
Hata suala la increments na nyongeza ya mishahara kwa watumishi angelikaa kimya siku ya Mei Mosi, ingelikuwa poa sana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…