Hongera Rais Samia, matendo huongea kwa sauti kuliko maneno

Hata suala la increments na nyongeza ya mishahara kwa watumishi angelikaa kimya siku ya Mei Mosi, ingelikuwa poa sana!!!
Kwanini?

Wanaochelewesha ni wakiritimba wa mawizarani huko, kama zimechelewa usijqli zitaingia kwa pamoja.

Tena hili suala litaondowa watu mawizarani.

Utanambia.
 
Utukome, kwa kazi zipi?
 
Ww ndo samia sio kwa mipashi hiyo
 
Huyu analilia hii nchi iwe kama Afghanistan.
Yaani ifuate Sharia za Kiislamu.

Kitu cha kwanza Wanawake wote watafunikwa Vigunia vyeusi toka nyayoni hadi utosini.

Kitu cha pili hakuna kutoka nje bila ruhusa ya Mwanamume. Na ukitoka lazima uambayane na mtoto wa kiume.

Hairuhusiwi mwanamke na mwanamme kuongozana.

Wanawake ni Marufuku
1. Kwenda Saluni
2. Kwenda Sokoni
3. Kwenda Shule
4. Hakuna kwenda kutembea na kupinga upepo nje ya uzio wa nyumba.
Hakuna kujitegemea lazima wamtegemee mwanaume.
5. Kuangalia video wa muziki kwenye Radio ay TV.
6. Kuongea Mbele ya Wanamume.
7. Kurithi mali ya familia yake
8. Kuendesha gari
9. Kustarehe popote nje ya nyumbani kwake
10. Kufanya kazi

NAKADHARIKA.

Halafu akisha fanikisha haya anakimbilia Msumbiji kuwafuata wenzake.
Mpuuzeni.[emoji848]
 
Raha ya Tanzania ya leo ndiyo hiyo, na mama katuwachia huru kubwabwaja na kuhororoja tupendavyo. Yeye kimyaa, anachapa kazi tu.

Ada ya mja kunena, Muungwana ni vitendo.

Vipi kesi Mbeya huko?
 

Usipendege kujitoa akili kujifanya mwehu wakati we ni timamu, wewe ni mtu mzima Mwenye kuweza kupambanua mambo. Tatzo unaletaga mada za kihuni kupima wanajukwaa acha huo upuuzi wako.
 
Tukitazama mitandaoni na jinsi mambo yanavyodhaniwa na wapenda maneno kuwa ndiyo yalivyo, inabidi nikupe heko na hongera nyingi sana tena sana mama Samia, tumeona uchapaji kazi wako na tumeona jinsi unavyotutakia mema Waanzania bila kukurupuka.

Hapo ulikuwa ukimaanisha nini?
 
Raha ya Tanzania ndiyoi hiyo, na mama katuwachia huru kubwabwaja na kuhorororja tupendavyo. Yeye kimyaa, anachapa kazi tu.

Ada ya mja kunena, Muungwana ni vitendo.

Vipi kesi Mbeya huko?
Kwani hiyo taasisi haitaki watu waongee wanavyojisikia?

Nauliza tena
Kwani tasisi ya Dini inayoitwa FaizaFoxy, haitaki watu waongee wanavyojisikia kuongea?

Kwani kuna mtu ana mamlaka ya kuruhusu au kukataza watu kuongea?

Tasisi ya Dini ya Faizafoxy, ina maoni gani kuhusu jambo hili?
 
Hasa matendo ya kuuza mali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…