Hongera Rais wa JMT. Nimeona nyumba wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro huku Handeni. Kusema kweli unastahili kuwa Rais wa JMT

Unapiga picha kwa kujificha na kuuficha muonekano wa hizo unazoziita nyumba, sasa hapo umepiga ukuta au nyumba.?

Acheni kuhadaa jamii ya kimasai hili mnalolifanya hamtafanikiwa kamwe.
Katafute juisi ya ndimu tu unywe. Chokochoko zenu zote zimeshindwa. Nani atakataa kujengewa nyumba na kupewa hati bure?

Samia kawazidi ujanja na akili
 
Huna akili kabisa? Una uthibitisho wowote wa hayo unayosema? Ukiombwa utupe ushahidi wa mwarabu kuuziwa Ngorongoro utautoa?

Au roho mbaya na chuki zako zinakuendesha?
Waziri mkuu anatumia kiongozi fake wa Masai kupotosha suala la kuamisha wakati wa Ngorongoro Kwa nini serikali inatafuta viongozi fake ili kuhalilisha suala la kuwaamisha Masai Ngorongoro?
 
Unateseka ukiwa wapi?

Usifikiri tamaa zako za kumiliki nyumba kila mtu anazo, urithi wa mmasai siyo nyumba za block na hayo makaratasi unayoyaita hati.!

Huyu mama yako unampigia propaganda ujue hilo ni jumba bovu litamuangukie siku za mbeleni.
 
Waziri mkuu anatumia kiongozi fake wa Masai kupotosha suala la kuamisha wakati wa Ngorongoro Kwa nini serikali inatafuta viongozi fake ili kuhalilisha suala la kuwaamisha Masai Ngorongoro?
Unajua mkishaambiwa mhame ni vema kuwa waelewa maana mwisho wa siku mtaambulia kuondoka bila hata fidia.

Whether mwarabu anapewa au hapewi ishu ni kuhama Sasa endeleeni kujifanya na nyie ni pundamilia mnavyojiita eti kivutio Cha utalii.
 
Whatever ,an animal game reserve is never complete without Maasai / human habitation. ...

Hii kasumba ya kutenga wamaasai ni potovu. Maasai wameishi hivyo kwa karne nyingi, isitoshe utalii wa tamaduni (cultural tourism) is more popular than wildlife.

PM ana maslahi na baadhi ya gvnnt officials, hili lipo blinded na watu kama nyie.

Mtastuka kumekucha.!
 
Mama anaupiga mwingi na anaijua kazi yake vzuri kweli kweli. Tuna bahati kuwa na Rais kipenzi cha watanzania wote na mzalendo.
 
Asee ziko poa, nimeona ile ya pale kwenye kilima kama ulaya, nadhani masaai wengi watagombea kujaza majina ahahahaaaa.

NOTE: Naongelea nyumba siyo sifa kwa mtu.
 
Hii Imani yenu ni potifu kwani mikumi Kuna wamasai? Ruaha national Park Kuna wamasai? Sio lazima mkae huko .

Anyway tunajua Kuna NGO zinapata hela kupitia wamasai wa ngorongoro tunazijua ikiwemo ya akina Ole Ngurumwa wanapokea more than 6 billion kwa mwaka wanajifanya wanasaidia wamasai kumbe pesa wanatia mifukoni mwao.

Sasa labda Kama wewe sio mmoja wao basi ndio mjue na mkae mkijua Kuna wamasai wenzenu wamewageuza nyie Kama nguruwe pori na mmekubali kukaa porini muwe vivutio wakati wenzenu haohao wa jamii yenu wanakula Bata mjini.
 
Kama ndivyo, Hongera nyingi kwa mhe. Rais na serikali yake kwa ukumla. Si kwa kuwajengea nyimba tu, bali mchakato mzima wa kuwahamisha wananchi hawa ulikuwa ni wa muhimu sana kwa mustabali wa hifadhi ya Ngorongoro.
 
Huna akili kabisa? Una uthibitisho wowote wa hayo unayosema? Ukiombwa utupe ushahidi wa mwarabu kuuziwa Ngorongoro utautoa?

Au roho mbaya na chuki zako zinakuendesha?
Unataka mimi nikuthibitishie, hiyo ni kazi yangu? hopeless kabisa......
 
Hata akiwajengea mahekalu akawapa na sheli na kuwapeleka Ulaya (kwa wachuuzi) wake bado haitoshi yeye kuvuka 2025 akiwa raisi wa kuchaguliwa wa JMT.
 
Tatizo la Ngorongoro sio watu pekee ni Ng'ombe wengi. Sasa cha kujiuliza tunataka sehemu ya Handeni iwekwe ng'ombe 1M ? Bila kuwa na utaratibu na mpangilio mazingira yataharibiwa sana. Serikali isifanye makosa kuhamisha watu bila utaratibu mzuri wa mifugo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…