Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Unapiga picha kwa kujificha na kuuficha muonekano wa hizo unazoziita nyumba, sasa hapo umepiga ukuta au nyumba.?
Acheni kuhadaa jamii ya kimasai hili mnalolifanya hamtafanikiwa kamwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapiga picha kwa kujificha na kuuficha muonekano wa hizo unazoziita nyumba, sasa hapo umepiga ukuta au nyumba.?
Katafute juisi ya ndimu tu unywe. Chokochoko zenu zote zimeshindwa. Nani atakataa kujengewa nyumba na kupewa hati bure?Unapiga picha kwa kujificha na kuuficha muonekano wa hizo unazoziita nyumba, sasa hapo umepiga ukuta au nyumba.?
Acheni kuhadaa jamii ya kimasai hili mnalolifanya hamtafanikiwa kamwe.
Waziri mkuu anatumia kiongozi fake wa Masai kupotosha suala la kuamisha wakati wa Ngorongoro Kwa nini serikali inatafuta viongozi fake ili kuhalilisha suala la kuwaamisha Masai Ngorongoro?Huna akili kabisa? Una uthibitisho wowote wa hayo unayosema? Ukiombwa utupe ushahidi wa mwarabu kuuziwa Ngorongoro utautoa?
Au roho mbaya na chuki zako zinakuendesha?
Waziri mkuu anatumia kiongozi fake wa Masai kupotosha suala la kuamisha wakati wa Ngorongoro Kwa nini serikali inatafuta viongozi fake ili kuhalilisha suala la kuwaamisha Masai Ngorongoro?
Usifikiri tamaa zako za kumiliki nyumba kila mtu anazo, urithi wa mmasai siyo nyumba za block na hayo makaratasi unayoyaita hati.!Katafute juisi ya ndimu tu unywe. Chokochoko zenu zote zimeshindwa. Nani atakataa kujengewa nyumba na kupewa hati bure?
Samia kawazidi ujanja na akili
Unajua mkishaambiwa mhame ni vema kuwa waelewa maana mwisho wa siku mtaambulia kuondoka bila hata fidia.Waziri mkuu anatumia kiongozi fake wa Masai kupotosha suala la kuamisha wakati wa Ngorongoro Kwa nini serikali inatafuta viongozi fake ili kuhalilisha suala la kuwaamisha Masai Ngorongoro?
Kuwatoa ndugu zetu mmpe mwarabu ndiyo jema?Tangu lini mkaona jema kwa serikali?
Whatever ,an animal game reserve is never complete without Maasai / human habitation. ...Unajua mkishaambiwa mhame ni vema kuwa waelewa maana mwisho wa siku mtaambulia kuondoka bila hata fidia.
Whether mwarabu anapewa au hapewi ishu ni kuhama Sasa endeleeni kujifanya na nyie ni pundamilia mnavyojiita eti kivutio Cha utalii.
Bangi sio nzuri kwa afya yakoLegacy za Magufuli inaendelea, asante kwa kumteua Samia
Asee ziko poa, nimeona ile ya pale kwenye kilima kama ulaya, nadhani masaai wengi watagombea kujaza majina ahahahaaaa.Kusema ukweli Huyu mama sio wa kawaida!
Nimeona nyumba za kudumu na kisasa wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro wanaohamishiwa Mkoani Tanga maeneo ya Handeni na Kilindi.
Ni nyumba za kisasa zinazoakisi akili ya Serikali yako katika kupanga na kutekeleza mipango thabiti kwa maslahi ya Tanzania
Mtu ambaye amehamisha hakuwa hata na makazi wala hati ya eneo Leo hii anajengewa nyumba ya kisasa na kupewa hati kabisa!
Kwangu Mimi so far Naona Serikali ya Awamu ya 6 ndo serikali Bora zaidi katika kufanyia kazi mawazo chanya wanayotoa wananchi.
Tulitoa mawazo humu kuwa hela zinazotumika kuwanunulia chakula Wakazi wa Ngorongoro takribani Bil 4-6 kwa mwaka zipelekwe kuwajengea makazi ya kisasa na kudumu wakazi hawa eneo lingine, na Naona leo wazo hili limefanyiwa Kazi na Serikali ya Awamu ya sita.
Hongera sana Rais Samia. Tutazidi kuleta mawazo zaidi kwako kupitia jukwaa hili.
Hii Imani yenu ni potifu kwani mikumi Kuna wamasai? Ruaha national Park Kuna wamasai? Sio lazima mkae huko .Whatever ,an animal game reserve is never complete without Maasai / human habitation. ...
Hii kasumba ya kutenga wamaasai ni potovu. Maasai wameishi hivyo kwa karne nyingi, isitoshe utalii wa tamaduni (cultural tourism) is more popular than wildlife.
PM ana maslahi na baadhi ya gvnnt officials, hili lipo blinded na watu kama nyie.
Mtastuka kumekucha.!
Badala ya kuleta maneno matupu kwanini usipige picha hizo nyumba tuzione, halafu ukiitwa chawa unanuna, punguza this nonsense unakuwa very cheap.
Kama ndivyo, Hongera nyingi kwa mhe. Rais na serikali yake kwa ukumla. Si kwa kuwajengea nyimba tu, bali mchakato mzima wa kuwahamisha wananchi hawa ulikuwa ni wa muhimu sana kwa mustabali wa hifadhi ya Ngorongoro.Kusema ukweli Huyu mama sio wa kawaida!
Nimeona nyumba za kudumu na kisasa wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro wanaohamishiwa Mkoani Tanga maeneo ya Handeni na Kilindi.
Ni nyumba za kisasa zinazoakisi akili ya Serikali yako katika kupanga na kutekeleza mipango thabiti kwa maslahi ya Tanzania
Mtu ambaye amehamisha hakuwa hata na makazi wala hati ya eneo Leo hii anajengewa nyumba ya kisasa na kupewa hati kabisa!
Kwangu Mimi so far Naona Serikali ya Awamu ya 6 ndo serikali Bora zaidi katika kufanyia kazi mawazo chanya wanayotoa wananchi.
Tulitoa mawazo humu kuwa hela zinazotumika kuwanunulia chakula Wakazi wa Ngorongoro takribani Bil 4-6 kwa mwaka zipelekwe kuwajengea makazi ya kisasa na kudumu wakazi hawa eneo lingine, na Naona leo wazo hili limefanyiwa Kazi na Serikali ya Awamu ya sita.
Hongera sana Rais Samia. Tutazidi kuleta mawazo zaidi kwako kupitia jukwaa hili.
Hii picha imekaa kimchongo, haiwezekani 'kiki' kama aliyokuja nayo huyo Lord ashindwe kuja na picha full ya hizo nyumba.
Unataka mimi nikuthibitishie, hiyo ni kazi yangu? hopeless kabisa......Huna akili kabisa? Una uthibitisho wowote wa hayo unayosema? Ukiombwa utupe ushahidi wa mwarabu kuuziwa Ngorongoro utautoa?
Au roho mbaya na chuki zako zinakuendesha?
Mwanza hawakubomolewa?hizi story mnatoa wapi,nina rafiki yanguLegacy ipi unayosema? ya kuwabomolea wakazi wa Kimara na kusema Mwanza wasibomolewe?
Kusema ukweli Huyu mama sio wa kawaida!