Hongera RC Makalla, hakika vibanda vya Machinga ulikuwa ni uchafu

Sema coco nimeenda jana panajengwa vibanda flani amazing hadi nimependa yani! Lami iko so smooth yani gari inashift gears tu kama iko hewani😅
Kulikuwa na carnival jumamosi. Mambo fulani ya bata na maonesho ya biashara kimtindo. Itakuwa inafanyika mara kwa mara. Ile lami sio ya nchi hii, sasa kuna ile ya aga khan kule balaa!
 
Kulikuwa na carnival jumamosi. Mambo fulani ya bata na maonesho ya biashara kimtindo. Itakuwa inafanyika mara kwa mara. Ile lami sio ya nchi hii, sasa kuna ile ya aga khan kule balaa!
Ahaa aisee vile vibanda iwe standard tu ya kule beach vimekaa kiusafi sana😋! Ile ya Aga Khan nayo kiboko yani Sea View ni mterezo tu mpaka inakoungia kwenda BOT ndio inaanza mbovu!
 
Kuna kitu kimoja nimegundua kuhusu hawa Mabosi wetu. Kwenye vikao na wafanyakazi kelele nyiiiingi: "Serikali yetu haiamini kabisa mambo ya uchawi. Ni mtu mjinga napumbavu tu ndio ataamini mambo hayo"
Kesho yake asubuhi: "Bosi, wale wazee pale mbele wamevamia eneo la Ofisi, inabidi waondolewe"
Jibu:"Aa aa aaaaa!! Usiniletee matatizo hapa! Unawafahamu walikotoka wale, koma kabisa"
 
Kulikuwa na carnival jumamosi. Mambo fulani ya bata na maonesho ya biashara kimtindo. Itakuwa inafanyika mara kwa mara. Ile lami sio ya nchi hii, sasa kuna ile ya aga khan kule balaa!
kudadadeki zenu wewe RRONDO Mimi mambo yakikaa Sawa nitaenda piga Kambi pale na kibanda changu amaizing nataka niweke Koktal & Moktal bar flani amaizing halafu na snacks Amaizing yaani noma Sana!
Ngoja nikamilishe mipango nitawatag Wana mje mnipe support chari yenu
Mbona mtafurahiii!
 
Mharifu atauawa.

Lazima miji iwe na utaratibu
 
jamani ila kwakweli wamekosea kidogo hao machinga kuwapeleka nje ya jiji nani atafika huko?
 
Tutafika sisi tunaotaka kununua vitu bei chee...

Mbona huwa tunatoka Bunju kufuata vitu K'koo au Posta!
hahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwii ila mm sijafurahishwa na kitendo cha kuwaondoa machinga hao kwakweli yaani ilikuwa vzr unatoka ofisini unapata kitu mlangoni
 
Katika hatua yoyote ya maendeleo hapakosekani kundi litakaloumia. Tupo tunaoshangilia njia sita kimara-Kibaha wakati wapo wanaolia kuvunjiwa nyumba na biashara zao.
 
Katika hatua yoyote ya maendeleo hapakosekani kundi litakaloumia. Tupo tunaoshangilia njia sita kimara-Kibaha wakati wapo wanaolia kuvunjiwa nyumba na biashara zao.

Issue ya ajira sio Tanzania pekee ni dunia nzima hata hivo Tanzania ina bahati ya kua na fursa nyingi mno ambazo bado tunachezea tu bila kujua cha kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…