Hongera Rwanda kwa kubadili muda wa kazi Ili kuwapa watoto muda wa kupumzika. Tanzania tunalo la kujifunza

Hongera Rwanda kwa kubadili muda wa kazi Ili kuwapa watoto muda wa kupumzika. Tanzania tunalo la kujifunza

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
It is now official, kuanzia January 2023 wafanyakazi wataingia makazini kwao saa tatu asubuhi na kutoka saa 11 jioni, hili linafanyika Ili kuruhusu watoto kupata muda mzuri wa kulala pamoja na kuwapa Wazazi muda wa kuwaandaa watoto.

Muda huo wa saa tatu Hadi saa 11 jioni utahusisha mapumziko ya chakula ya one hour.

=====

Government has made changes in the official schooling and working hours as a move to offer more flexible conditions.

According to a cabinet meeting communique from the Prime Minister's Office, the development is aimed at "promoting quality education as well as improving both workplace productivity and family wellbeing."

This is one of the resolutions taken by a Cabinet meeting that was chaired by President Paul Kagame on Friday, November 11.

School hours will be 8:30a.m to 5p.m, according to the new changes.

Classes for most public schools in Rwanda have been starting at 7am and end at 4:45pm from Monday to Friday.

The number of working hours have also been changed from nine to eight per day.

"Official working hours will be eight hours from 9:00am to 5:00pm (excluding a one-hour lunch break), and including a flexible hour between 8:00am 9:00am, where an employee may work remotely," read the communique from the Prime Minister's Office.

Prior to the new changes, the maximum working hours in the country have been 45 hours a week, according to the 2018 Law Regulating Labour in Rwanda.

The changes will take effect beginning January next year, and respective ministries are expected to provide further details.

ALLAFRICA
 
Hakuna kitu kinaumiza kama kuwaona watoto wadogo saa 10 alfajiri wameshaamka wanakimbizana na Daladala. Binti yangu mmojawapp anaamka saa kumi na nusu alfajiri, school bus inamchukua saa kumi na Moja na nusu Kila siku, Yuko standard five, huwa napata shida sana.

Naomba Tanza-nia tuliangalie Jambo hili pia, tuige mema pia
 
wale wa africa mashariki hakuna ila hapa Tanzania tu na duniani ndipo utapata, hawawezi kuiga mazuri maana hawana maarifa ya kuendeleza
 
Hakuna kitu kinaumiza kama kuwaona watoto wadogo saa 10 alfajiri wameshaamka wanakimbizana na Daladala. Binti yangu mmojawapp anaamka saa kumi na nusu alfajiri, school bus inamchukua saa kumi na Moja na nusu Kila siku, Yuko standard five, huwa napata shida sana.

Naomba Tanza-nia tuliangalie Jambo hili pia, tuige mema pia
Inaumiza sana
 
Sisi tutakuja na moja hivi, mpaka live coverage ya media itakuwepo, vuta kiti ukae kwa kutulia.
Ile ya kupunguza miaka ya kusoma kutoka Saba Hadi SITA? Mbona nasikia imekwama?
 
Hakuna kitu kinaumiza kama kuwaona watoto wadogo saa 10 alfajiri wameshaamka wanakimbizana na Daladala. Binti yangu mmojawapp anaamka saa kumi na nusu alfajiri, school bus inamchukua saa kumi na Moja na nusu Kila siku, Yuko standard five, huwa napata shida sana.

Naomba Tanza-nia tuliangalie Jambo hili pia, tuige mema pia
Muhimu wawahi kulala waachane na kutazama maseason na matamthilia haya yaliyojaa upotovu.
 
Siku hizi watoto akili zao hazipumziki mwaka mzima, unakuta wanasoma hadi wakati wa likizo, inatakiwa shule ikifungwa na madaftari yafungiwe kabatini Ili mtoto apate mda wa kupumzika afikirie vingine nje ya shule. Na sio shule tu, thus wanashindwa kumaster yaliyo nje ya shule hata baada ya kumaliza shule.
 
It is now official, kuanzia January 2023 wafanyakazi wataingia makazini kwao saa tatu asubuhi na kutoka saa 11 jioni, hili linafanyika Ili kuruhusu watoto kupata muda mzuri wa kulala pamoja na kuwapa Wazazi muda wa kuwaandaa watoto.

Muda huo wa saa tatu Hadi saa 11 jioni utahusisha mapumziko ya chakula ya one hour.

Government Adjusts Working Hours Rwanda: Government Adjusts Working Hours
Rwanda wanatumia akili zao kufikiri. Sisi tunatumia kuwaza jinsi ya kuiba uchaguzi utakaofuata
 
Back
Top Bottom