To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
😂😂😂🙅NDIO maana aiseeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂🙅NDIO maana aiseeee
True mtoto anasoma maisha yake yote tangu la kwanza hadi chuo KILA siku ni shule,home work,likizo tuition.Kama wa Kwangu, anarudi Kumi na Moja jioni, anarudi na homework, anakula, anaoga, anakaa mezani! Hapana hatuwatendei haki watoto wetu
Ni uamuzi wako tu, kupanga ni kuchaguaHiyo ratiba mbovu kwa wafanyakaz, unapataje muda wa kusimamia harakat zingine
Acheni kuhemka mbuzi anakula huku anafata kambaHakuna kitu kinaumiza kama kuwaona watoto wadogo saa 10 alfajiri wameshaamka wanakimbizana na Daladala. Binti yangu mmojawapp anaamka saa kumi na nusu alfajiri, school bus inamchukua saa kumi na Moja na nusu Kila siku, Yuko standard five, huwa napata shida sana.
Naomba Tanza-nia tuliangalie Jambo hili pia, tuige mema pia
Usiku mwema, Niko kwenye maombiAcheni kuhemka mbuzi anakula huku anafata kamba
Sahv mtu unalala sa7 unaamka sa1 nduki kwenye mihangaiko 😃Kitaalamu mwanadamu inatakiwa Saa 12 jioni uwe kitandani Saa moja unakoroma Saa kumi kamili alfajiri uwe umeamka ndio utaratibu wa kiafya toka zamani, hili watu wa vijijini ulizingatia sana.
Kwani hapo unapoishi hamna shule ya Serikali jirani,acha kulalamika hayo mateso umemechagulia mwenyewe.Hakuna kitu kinaumiza kama kuwaona watoto wadogo saa 10 alfajiri wameshaamka wanakimbizana na Daladala. Binti yangu mmojawapp anaamka saa kumi na nusu alfajiri, school bus inamchukua saa kumi na Moja na nusu Kila siku, Yuko standard five, huwa napata shida sana.
Naomba Tanza-nia tuliangalie Jambo hili pia, tuige mema pia
Hauna hata akili moja wewe. Sidhani kwanza unajua maana ya kuwa mzazi.Muhimu wawahi kulala waachane na kutazama maseason na matamthilia haya yaliyojaa upotovu.
Usingizi uleta umasikini,Hauna hata akili moja wewe. Sidhani kwanza unajua maana ya kuwa mzazi.
NDIO mwisho wako wa kufikiriKwani hapo unapoishi hamna shule ya Serikali jirani,acha kulalamika hayo mateso umemechagulia mwenyewe.
Kama ulitaka shule nzuri hizo ndio sacrifices,acha malalamiko.
Huyu Hana watoto, JF kumekua na vitoto vingi sanaHauna hata akili moja wewe. Sidhani kwanza unajua maana ya kuwa mzazi.
Bado na lile la mtaala mpya mwaka wa ngapi danadana haziishi?.Ile ya kupunguza miaka ya kusoma kutoka Saba Hadi SITA? Mbona nasikia imekwama?
It is now official, kuanzia January 2023 wafanyakazi wataingia makazini kwao saa tatu asubuhi na kutoka saa 11 jioni, hili linafanyika Ili kuruhusu watoto kupata muda mzuri wa kulala pamoja na kuwapa Wazazi muda wa kuwaandaa watoto.
Muda huo wa saa tatu Hadi saa 11 jioni utahusisha mapumziko ya chakula ya one hour.
Mwaka mmoja unatakiwa upunguzwe lakini sio kwenye primary level. Inatakiwa Advance level iwe mwaka mmoja tu unatosha.Ile ya kupunguza miaka ya kusoma kutoka Saba Hadi SITA? Mbona nasikia imekwama?
Wanapigana vikumbo tu huko wanaoumia ni watotoIle ya kupunguza miaka ya kusoma kutoka Saba Hadi SITA? Mbona nasikia imekwama?
Nilisikia siku moja jina linafanana na MakondaWaziri wa Elimu ni nani siku hizi?