Hongera Rwanda kwa kubadili muda wa kazi Ili kuwapa watoto muda wa kupumzika. Tanzania tunalo la kujifunza

Hongera Rwanda kwa kubadili muda wa kazi Ili kuwapa watoto muda wa kupumzika. Tanzania tunalo la kujifunza

Kama wa Kwangu, anarudi Kumi na Moja jioni, anarudi na homework, anakula, anaoga, anakaa mezani! Hapana hatuwatendei haki watoto wetu
True mtoto anasoma maisha yake yote tangu la kwanza hadi chuo KILA siku ni shule,home work,likizo tuition.
Thus tuna kizazi kilicho shallow thinking, general knowledge ni sifuri kabisa zaidi ya kukariri tu
 
Hakuna kitu kinaumiza kama kuwaona watoto wadogo saa 10 alfajiri wameshaamka wanakimbizana na Daladala. Binti yangu mmojawapp anaamka saa kumi na nusu alfajiri, school bus inamchukua saa kumi na Moja na nusu Kila siku, Yuko standard five, huwa napata shida sana.

Naomba Tanza-nia tuliangalie Jambo hili pia, tuige mema pia
Acheni kuhemka mbuzi anakula huku anafata kamba
 
Ila haya matoto ya siku hizi ya chips kuku IQ zao zipo chini Sana ukiwapuumzisha bila kuwashindilia masomo utakuwa umetupa tu bure pesa zako. Wana capacity kubwa tu ya kukariri bongo flavors, season na mpira na sio masomo
 
Hakuna kitu kinaumiza kama kuwaona watoto wadogo saa 10 alfajiri wameshaamka wanakimbizana na Daladala. Binti yangu mmojawapp anaamka saa kumi na nusu alfajiri, school bus inamchukua saa kumi na Moja na nusu Kila siku, Yuko standard five, huwa napata shida sana.

Naomba Tanza-nia tuliangalie Jambo hili pia, tuige mema pia
Kwani hapo unapoishi hamna shule ya Serikali jirani,acha kulalamika hayo mateso umemechagulia mwenyewe.

Kama ulitaka shule nzuri hizo ndio sacrifices,acha malalamiko.
 
It is now official, kuanzia January 2023 wafanyakazi wataingia makazini kwao saa tatu asubuhi na kutoka saa 11 jioni, hili linafanyika Ili kuruhusu watoto kupata muda mzuri wa kulala pamoja na kuwapa Wazazi muda wa kuwaandaa watoto.

Muda huo wa saa tatu Hadi saa 11 jioni utahusisha mapumziko ya chakula ya one hour.
  1. Kwetu wakubwa watasema hatuwezi kukaiga kanchi kadogo hako
  2. Changamoto za usafiri mijini zitawafikisha watoto nyumbani saa 6 usiku ikiwa watatoka saa 11 shuleni
  3. Kumbuka hapa kwetu zama hizi ni za yule aliyeambiwa shut-up ...hawaivi kabisa na slim boy
 
Back
Top Bottom