Hongera Samia Kum-Endorse Dr Ndugulile; Mtangulizi Wako Aliwazuia Membe, Likwelile na Mulamula Wasiende AU

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
IMG-20240827-WA0060.jpg
Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.

Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.

Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
 
RIP shujaa Magufuli yatasemwa mengi but atabakia kuwa the best of all.

Hongera sana Dr ndugulile

Watu washaibia Nchi vya kutosha unawapeleka huko kufanya nini ?

Ni kama Kenya kwa Raila sasa hivi AU , mtu hana uadilifu wowote just kujulikana unampeleka huko akafanye nini ?

Mambo ya kubebana kwenye hamna kwa JPM hayakuwa na Nafasi .
 
View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.

Hongera kwake Bw. Ndugulile.
Ila sasa aende akapige kazi vizuri huko, awe Balozi mzuri kwa kuwawakilisha vizuri Waafrika (Watu weusi) kwenye taasisi kubwa ya kimataifa kama hiyo WHO. Aachane kabisa na masuala ya ubabaishaji katika utendaji kazi, figisu-figisu, ukanjanja na longolongo za ki-CCM kama zilivyo kwa hapa Tanzania.
Aende kutuwakilisha vyema huko sisi Watanzania na Waafrika kwa ujumla, akumbuke kwamba haendi huko WHO kuiwakilisha Serikali ya Tanzania wala kukiwakilisha chama chake Cha Siasa cha CCM, Bali atambue kwamba anaenda kuiwakilisha Afrika yote na Waafrika wote kwa ujumla wakiwamo na wa-Tanzania.
 
Hao unaowataja walilifanyia nini taifa walipokuwa na nyadhifa za kitaifa..?Magu hakuwa anaendekeza ushkaji kwenye mambo ya msingi.

Mtu ana faili chafu, mbinafsi kisha unampitisha mambo ya msingi, si bora akalee wajukuu.
 
View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.

Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.

Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Kila wakati nakuzuia kuzungumzia Magufuli husikii. Hakuna mtu hajui ulivyomchukia kiasi unasema uongo kwa mtu aliyekwisha kufa. Huna maana
 
View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.

Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.

Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Lile lilikuwa ni shetani halisi.
Jitu halikupenda kabisa watu wafurahie maisha
 
View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.

Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.

Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Buyobeeeeeh😀😀
 
RIP shujaa Magufuli yatasemwa mengi but atabakia kuwa the best of all.

Hongera sana Dr ndugulile

Watu washaibia Nchi vya kutosha unawapeleka huko kufanya nini ?

Ni kama Kenya kwa Raila sasa hivi AU , mtu hana uadilifu wowote just kujulikana unampeleka huko akafanye nini ?

Mambo ya kubebana kwenye hamna kwa JPM hayakuwa na Nafasi .
Hiyo ndiyo mentality ya KIMASKINI. Huyu ndiyo alisema atawafanya matajiri waishi kama MASHETANI !!

Angekuwa kiongozi mzuri angesema "Nataka maskini waishi kama MATAJIRI" .

Hivi kwa roho mbaya kama hii Mungu anakuachaje hai?? Lazima UFE tu
 
JPM anaingiaje hapa?

Yani pamoja na kwamba hayupo Dunini lakini bado mnateseka nae

Kweli chuma kiliwakomesha HAMKISAHAU HAHHAAAH

Halafu punguza ichawa mpe hongera Ndungulile na sio samia
Kama huwezi kuona JPM anaingiaje wewe ni KIPOFU. The more tuna watu kwenye influential positions internationally the more tunapata fursa za upendeleo in terms of miradi ya kimataifa, ajira za vijana wetu lakini vilevile ne diaspora remittances.

Kama ni la Saba B, huwezi kunielewa
 
Back
Top Bottom