Hongera Samia Kum-Endorse Dr Ndugulile; Mtangulizi Wako Aliwazuia Membe, Likwelile na Mulamula Wasiende AU

JPM anaingiaje hapa?

Yani pamoja na kwamba hayupo Dunini lakini bado mnateseka nae

Kweli chuma kiliwakomesha HAMKISAHAU HAHHAAAH

Halafu punguza ichawa mpe hongera Ndungulile na sio samia
Lini Waitalia wakamsahau Benito Mussolini?
Lini Wajerumani wakamsahau Adolf Hitler?
Lini CAR wakamsahau Jean Bedel Bokassa?
Lini Uganda wakamsahau Iddi Amini Dada?
Kwa Nini unataka tumsahau wa kwetu?
 
Kwamba Samia wizara ya afya aliona Jenista ambaye ni mwalimu anafaa kuliki Ngugulile.........???
 
View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.

Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.

Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Sio vizuri kumlaumu kiongozi bila kuzingatia taarifa za kiintelejensia kuhusu madhumuni ya mhusika Kwa awamu husika!

Mengine tuyaache yapite TU!
 
Hao akina Membe walishajipambanua ni maadui wa Magufuli kisiasa,Hata ingekuwa Mama samia hasingempigia kampeni adui yake,hivyo ulinganisho wako hauna mantiki yoyote zaidi ya chuki inayokutesa kwa mtu ambaye ameshatangulia mbele za haki.
 
Kila wakati nakuzuia kuzungumzia Magufuli husikii. Hakuna mtu hajui ulivyomchukia kiasi unasema uongo kwa mtu aliyekwisha kufa. Huna maana
Unataka nikuletee ushahidi wa ni nani aliwazuia akina Likwelile, Benard membe na Mulamula kwa kazi za African Union? Kama hujui basi ni wewe tu, na huistahili kuwa JF
 
Sio vizuri kumlaumu kiongozi bila kuzingatia taarifa za kiintelejensia kuhusu madhumuni ya mhusika Kwa awamu husika!

Mengine tuyaache yapite TU!
Usijifiche kwenye kivuli cha intelligensia. Mtanzania amepata kazi nje ya nchi, mshahara humlipi wewe, bali wewe ni kuandika neno moja tu "NAKUBALI". Tatzo SHETANI alikuwa na wivu wa mafanikio. Alitaka awe na fedha yeye mwenyewe na jamaa zake wachache
 
View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.

Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.

Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Kweli kabisa, jamaa alikuwa na wivu sana, hapo lazima angemuweka mtu wa kutoka Chato
 
View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.

Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.

Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Kama walikuwa hawamuheshimu kama Bosi wao kwanini awa endorse? Baba Raila baada ya kuwa na nia ya kugombea Uwenyekiti wa Sekretariati ya AU, alianza kujisogeza karibu kwa Rais Ruto ili amu endorse. Unakumbuka alimuunga mkono Rais Ruto dhidi ya Wahuni wa Gen Z kinyume Cha matatajio ya wengi. Jana kafanyiwa "Sherehe Maalum" ya kum endorse na kumpigia kampeni huku viongozi wengi wa Afrika wakihudhuria.

"Ukitaka kula, sharti uliwe"... Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Sasa jifanye kichwa ngumu halafu utegemee ulaji kwa watu haohao unaojifanya kichwa ngumu kwao uone!!!
 
Hao akina Membe walishajipambanua ni maadui wa Magufuli kisiasa,Hata ingekuwa Mama samia hasingempigia kampeni adui yake,hivyo ulinganisho wako hauna mantiki yoyote zaidi ya chuki inayokutesa kwa mtu ambaye ameshatangulia mbele za haki.
Ametangulia mbele ya haki sawa. Kwanini utetee UKAUZU alioufanya.?
 
Kama walikuwa hawamuheshimu kama Bosi wao kwanini awa endorse? Baba Raila baada ya kuwa na nia ya kugombea Uwenyekiti wa Sekretariati ya AU, alianza kujisogeza karibu kwa Rais Ruto ili amu endorse. Unakumbuka alimuunga mkono Rais Ruto dhidi ya Wahuni wa Gen Z kinyume Cha matatajio ya wengi. Jana kafanyiwa "Sherehe Maalum" ya kum endorse na kumpigia kampeni huku viongozi wengi wa Afrika wakiuhudhiria.

"Ukitaka kula, sharti uliwe"... Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Niambie wewe sasa akina Likwelile walimkosea nini huyu DIKTETA?
 
Kama walikuwa hawamuheshimu kama Bosi wao kwanini awa endorse? Baba Raila baada ya kuwa na nia ya kugombea Uwenyekiti wa Sekretariati ya AU, alianza kujisogeza karibu kwa Rais Ruto ili amu endorse. Unakumbuka alimuunga mkono Rais Ruto dhidi ya Wahuni wa Gen Z kinyume Cha matatajio ya wengi. Jana kafanyiwa "Sherehe Maalum" ya kum endorse na kumpigia kampeni huku viongozi wengi wa Afrika wakihudhuria.

"Ukitaka kula, sharti uliwe"... Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Sasa jifanye kichwa ngumu halafu utegemee ulaji kwa watu haohao unaojifanya kichwa ngumu kwao uone!!!
Vicky Kamata alimkataa JPM wakati anataka kula mzigo, basi vita ikaanzia hapo, Mulamula inatokana na chuki kubwa ya JPM kwa watu wa Kagera
 
View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.

Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.

Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Hakua na roho mbaya aliwajua ni ma sellout, kama huyu alikua anatumika kwenye propaganda za covid hayat akaruka naye mazima na saiv kala shavu WHO
 
Back
Top Bottom