Hongera Samia Kum-Endorse Dr Ndugulile; Mtangulizi Wako Aliwazuia Membe, Likwelile na Mulamula Wasiende AU

Kama huwezi kuona JPM anaingiaje wewe ni KIPOFU. The more tuna watu kwenye influential positions internationally the more tunapata fursa za upendeleo in terms of miradi ya kimataifa, ajira za vijana wetu lakini vilevile ne diaspora remittances.

Kama ni la Saba B, huwezi kunielewa
Hao ndo zao la mawazo ya Magu
 
Kama huwezi kuona JPM anaingiaje wewe ni KIPOFU. The more tuna watu kwenye influential positions internationally the more tunapata fursa za upendeleo in terms of miradi ya kimataifa, ajira za vijana wetu lakini vilevile ne diaspora remittances.

Kama ni la Saba B, huwezi kunielewa
Ushamba wa kuona vitu vya international ndio vya muhimu hicho ndicho kinachowasumbua,hayo maendeleo mbona hatuyaoni?hizo ajira za vijana ziko wapi?

Acheni hizo Ndungulile kapqtq hiyo nafasi atitumikia akimaliza itabaki katika historia tu ila kusema italeta tija kwa Taifa hili ni kujidanganya mwenyewe
 
View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.

Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.

Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa

Na Samia amekuwa endorsed na nani?

R.I.P Magufuli
 
RIP shujaa Magufuli yatasemwa mengi but atabakia kuwa the best of all.

Hongera sana Dr ndugulile

Watu washaibia Nchi vya kutosha unawapeleka huko kufanya nini ?

Ni kama Kenya kwa Raila sasa hivi AU , mtu hana uadilifu wowote just kujulikana unampeleka huko akafanye nini ?

Mambo ya kubebana kwenye hamna kwa JPM hayakuwa na Nafasi .
Ndungulile ni medical doctor (md) wewe ni nani ? Umesoma mpaka wapi
 
View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.

Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.

Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Ha walikuwa wahunii tuuu na kabla ya hapo walijitengenezea mirija na mfumo

Hivyo kazi kubwa aliyokuwa nayo MZALENDO WA PILI NI KUKATA MIRIJA HIYO.

Dr Faustine Ndungulile hana makandokandoo
 
Usizuie. Wewe wajibu wako ni kulitetea tu jitu lenu
Sijazuia au sitetei. Vijana lazima ujue kurudia rudia hakujengi ila kunaonesha ulivyo na mihemko. Hakuna mtu ambaye alipendwa na wote au kuchukiwa na wote. Aidha hakuna binadamu ambaye hafanyi makosa, makosa ndiyo ubinadamu. Ila kurudia rudia ni ukosefu wa hoja mujarab
 
Ni kwamba mimi pekee sijaelewa au wote?! Ili mtu awe REGIONAL DIRECTOR WHO AFRICAN REGION kwani ni lazma we endorsed na Rais?!
1724823606972.png

Hapo Samia anaingiaje?!
 
View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.

Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.

Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Punguza kujua usiyo yajua.

Mbona Dr Mwele alienda?
 
Back
Top Bottom