View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.
Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.
Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Hongera kwake Bw. Ndugulile.View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.
Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.
Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Kila wakati nakuzuia kuzungumzia Magufuli husikii. Hakuna mtu hajui ulivyomchukia kiasi unasema uongo kwa mtu aliyekwisha kufa. Huna maanaView attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.
Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.
Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Lile lilikuwa ni shetani halisi.View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.
Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.
Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Buyobeeeeeh😀😀View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.
Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.
Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Sawa sawa kama yule Dr Mwele tu, ananufaika yeye na familia au vpHuyu naye atamaliza muda wote na hakuna tutachofaidika
Wala hakuna la maana angekuwa Mkenya wakenya wangejaa WHOSawa sawa kama yule Dr Mwele tu, ananufaika yeye na familia au vp
Yaani lile shetani lenu la Chato kamwe hatutolisahau kwa uovu wako.JPM anaingiaje hapa?
Yani pamoja na kwamba hayupo Dunini lakini bado mnateseka nae
Kweli chuma kiliwakomesha HAMKISAHAU HAHHAAAH
Halafu punguza ichawa mpe hongera Ndungulile na sio samia
Hiyo ndiyo mentality ya KIMASKINI. Huyu ndiyo alisema atawafanya matajiri waishi kama MASHETANI !!RIP shujaa Magufuli yatasemwa mengi but atabakia kuwa the best of all.
Hongera sana Dr ndugulile
Watu washaibia Nchi vya kutosha unawapeleka huko kufanya nini ?
Ni kama Kenya kwa Raila sasa hivi AU , mtu hana uadilifu wowote just kujulikana unampeleka huko akafanye nini ?
Mambo ya kubebana kwenye hamna kwa JPM hayakuwa na Nafasi .
Usizuie. Wewe wajibu wako ni kulitetea tu jitu lenuKila wakati nakuzuia kuzungumzia Magufuli husikii. Hakuna mtu hajui ulivyomchukia kiasi unasema uongo kwa mtu aliyekwisha kufa. Huna maana
Kama huwezi kuona JPM anaingiaje wewe ni KIPOFU. The more tuna watu kwenye influential positions internationally the more tunapata fursa za upendeleo in terms of miradi ya kimataifa, ajira za vijana wetu lakini vilevile ne diaspora remittances.JPM anaingiaje hapa?
Yani pamoja na kwamba hayupo Dunini lakini bado mnateseka nae
Kweli chuma kiliwakomesha HAMKISAHAU HAHHAAAH
Halafu punguza ichawa mpe hongera Ndungulile na sio samia