Hongera Samia Kum-Endorse Dr Ndugulile; Mtangulizi Wako Aliwazuia Membe, Likwelile na Mulamula Wasiende AU

Hao ndo zao la mawazo ya Magu
 
Ushamba wa kuona vitu vya international ndio vya muhimu hicho ndicho kinachowasumbua,hayo maendeleo mbona hatuyaoni?hizo ajira za vijana ziko wapi?

Acheni hizo Ndungulile kapqtq hiyo nafasi atitumikia akimaliza itabaki katika historia tu ila kusema italeta tija kwa Taifa hili ni kujidanganya mwenyewe
 

Na Samia amekuwa endorsed na nani?

R.I.P Magufuli
 
Ndungulile ni medical doctor (md) wewe ni nani ? Umesoma mpaka wapi
 
Ha walikuwa wahunii tuuu na kabla ya hapo walijitengenezea mirija na mfumo

Hivyo kazi kubwa aliyokuwa nayo MZALENDO WA PILI NI KUKATA MIRIJA HIYO.

Dr Faustine Ndungulile hana makandokandoo
 
Usizuie. Wewe wajibu wako ni kulitetea tu jitu lenu
Sijazuia au sitetei. Vijana lazima ujue kurudia rudia hakujengi ila kunaonesha ulivyo na mihemko. Hakuna mtu ambaye alipendwa na wote au kuchukiwa na wote. Aidha hakuna binadamu ambaye hafanyi makosa, makosa ndiyo ubinadamu. Ila kurudia rudia ni ukosefu wa hoja mujarab
 
Punguza kujua usiyo yajua.

Mbona Dr Mwele alienda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…