Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Fuatilia taratibu zao. Wewe unafikiri kama nchi yako haikubali utawezaje kukubalika na kushinda. Itakuwa ngumuNi kwamba mimi pekee sijaelewa au wote?! Ili mtu awe REGIONAL DIRECTOR WHO AFRICAN REGION kwani ni lazma we endorsed na Rais?!
View attachment 3081144
Hapo Samia anaingiaje?!
Mwele aligombea au aliteulia ?Punguza kujua usiyo yajua.
Mbona Dr Mwele alienda?
Ccm kuna vitu iliviganya makusudi ...kuoneana gere na kufanyiana unafikiSisi kama vile CCM imetuloga hakuna la maana tunafanya
Lini Waitalia wakamsahau Benito Mussolini?JPM anaingiaje hapa?
Yani pamoja na kwamba hayupo Dunini lakini bado mnateseka nae
Kweli chuma kiliwakomesha HAMKISAHAU HAHHAAAH
Halafu punguza ichawa mpe hongera Ndungulile na sio samia
SureUbinafsi ndio tatizo la bongo kutaka awe yeye pekee yake. Hatuwezi kuwafikia Wakenya, wenzetu wameweka
siasa pembeni wamemuunga mkono Raila Odinga kwenda AU ila huku kwetu kipindi cha Magufuli Bernard Membe alizuiliwa.
ALIWAKOMESHALini Waitalia wakamsahau Benito Mussolini?
Lini Wajerumani wakamsahau Adolf Hitler?
Lini CAR wakamsahau Jean Bedel Bokassa?
Lini Uganda wakamsahau Iddi Amini Dada?
Kwa Nini unataka tumsahau wa kwetu?
Sana mkuuCcm kuna vitu iliviganya makusudi ...kuoneana gere na kufanyiana unafiki
Sio vizuri kumlaumu kiongozi bila kuzingatia taarifa za kiintelejensia kuhusu madhumuni ya mhusika Kwa awamu husika!View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.
Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.
Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Hao akina Membe walishajipambanua ni maadui wa Magufuli kisiasa,Hata ingekuwa Mama samia hasingempigia kampeni adui yake,hivyo ulinganisho wako hauna mantiki yoyote zaidi ya chuki inayokutesa kwa mtu ambaye ameshatangulia mbele za haki.View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.
Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.
Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Unataka nikuletee ushahidi wa ni nani aliwazuia akina Likwelile, Benard membe na Mulamula kwa kazi za African Union? Kama hujui basi ni wewe tu, na huistahili kuwa JFKila wakati nakuzuia kuzungumzia Magufuli husikii. Hakuna mtu hajui ulivyomchukia kiasi unasema uongo kwa mtu aliyekwisha kufa. Huna maana
Usijifiche kwenye kivuli cha intelligensia. Mtanzania amepata kazi nje ya nchi, mshahara humlipi wewe, bali wewe ni kuandika neno moja tu "NAKUBALI". Tatzo SHETANI alikuwa na wivu wa mafanikio. Alitaka awe na fedha yeye mwenyewe na jamaa zake wachacheSio vizuri kumlaumu kiongozi bila kuzingatia taarifa za kiintelejensia kuhusu madhumuni ya mhusika Kwa awamu husika!
Mengine tuyaache yapite TU!
Kweli kabisa, jamaa alikuwa na wivu sana, hapo lazima angemuweka mtu wa kutoka ChatoView attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.
Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.
Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Kama walikuwa hawamuheshimu kama Bosi wao kwanini awa endorse? Baba Raila baada ya kuwa na nia ya kugombea Uwenyekiti wa Sekretariati ya AU, alianza kujisogeza karibu kwa Rais Ruto ili amu endorse. Unakumbuka alimuunga mkono Rais Ruto dhidi ya Wahuni wa Gen Z kinyume Cha matatajio ya wengi. Jana kafanyiwa "Sherehe Maalum" ya kum endorse na kumpigia kampeni huku viongozi wengi wa Afrika wakihudhuria.View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.
Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.
Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Ametangulia mbele ya haki sawa. Kwanini utetee UKAUZU alioufanya.?Hao akina Membe walishajipambanua ni maadui wa Magufuli kisiasa,Hata ingekuwa Mama samia hasingempigia kampeni adui yake,hivyo ulinganisho wako hauna mantiki yoyote zaidi ya chuki inayokutesa kwa mtu ambaye ameshatangulia mbele za haki.
Niambie wewe sasa akina Likwelile walimkosea nini huyu DIKTETA?Kama walikuwa hawamuheshimu kama Bosi wao kwanini awa endorse? Baba Raila baada ya kuwa na nia ya kugombea Uwenyekiti wa Sekretariati ya AU, alianza kujisogeza karibu kwa Rais Ruto ili amu endorse. Unakumbuka alimuunga mkono Rais Ruto dhidi ya Wahuni wa Gen Z kinyume Cha matatajio ya wengi. Jana kafanyiwa "Sherehe Maalum" ya kum endorse na kumpigia kampeni huku viongozi wengi wa Afrika wakiuhudhiria.
"Ukitaka kula, sharti uliwe"... Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Vicky Kamata alimkataa JPM wakati anataka kula mzigo, basi vita ikaanzia hapo, Mulamula inatokana na chuki kubwa ya JPM kwa watu wa KageraKama walikuwa hawamuheshimu kama Bosi wao kwanini awa endorse? Baba Raila baada ya kuwa na nia ya kugombea Uwenyekiti wa Sekretariati ya AU, alianza kujisogeza karibu kwa Rais Ruto ili amu endorse. Unakumbuka alimuunga mkono Rais Ruto dhidi ya Wahuni wa Gen Z kinyume Cha matatajio ya wengi. Jana kafanyiwa "Sherehe Maalum" ya kum endorse na kumpigia kampeni huku viongozi wengi wa Afrika wakihudhuria.
"Ukitaka kula, sharti uliwe"... Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Sasa jifanye kichwa ngumu halafu utegemee ulaji kwa watu haohao unaojifanya kichwa ngumu kwao uone!!!
Hakua na roho mbaya aliwajua ni ma sellout, kama huyu alikua anatumika kwenye propaganda za covid hayat akaruka naye mazima na saiv kala shavu WHOView attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.
Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.
Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa