Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Hiyo sentenso umeitoa wapi?Kuna Kagera ya Wanyambo na Kagera ya Wahaya, wewe ni wa pande ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo sentenso umeitoa wapi?Kuna Kagera ya Wanyambo na Kagera ya Wahaya, wewe ni wa pande ipi?
Nipe post yangu moja ninayomtaka Halima Mdee na wenzie wafukuzwe bungeni!!Lakini usimwamini sana Stuxnet. Anamlaumu Mwamba Magufuli eti aliwatilia mtima nyongo akina Membe wakati huohuo anaunga mkono akina Mdee wafukuzwe Bungeni! Ahahahahaha! Kwani wakibaki hadi mwakani sio ndio falsafa ya rejea hiyo unayosema?
Kidogo sana asee usd 12k hivi halafu huko hakuna upigaji. Anatamani tu na nakukumbuka wizara ya habari teknolojia na mawasiliano alivyokuwa anawapiga kina Voda.Jamaa mshahara wake Kwa Mwezi ni Tsh milioni 32
Kafanye kazi au la utakufa kwa njaa kwa kutgemea Rais atapunguza makali ya maishaKwa hiyo sasa hivi unafurahia maisha?
Iambieni hiyo chura kiziwi yenu ipunguze gharama za maisha!
Yani sasa hivi ukitaka kununua kitu mtandaoni kwa dola 300 uwe na laki 9?
Kwenye AVATAR yako nimekumbuka vile huyo afande magereza alivyo shushuliwa😊😊View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.
Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.
Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Tunaye Hiiti Sillo yupo WHO, Geneva. Kaingia kule wakati Mwele yupo huko ingawa siwezi kujua kama ni juhudi za Mwele au juhudi binafsi kutokana na uzoefu wake wa uDG wa TFDA(ya kipindi kile kabla haijabadilishwa jina)Wala hakuna la maana angekuwa Mkenya wakenya wangejaa WHO
Hapo bado marupurupu ya safari DunianiJamaa mshahara wake Kwa Mwezi ni Tsh milioni 32
Haya ndio maneno ya machawa ya chura kiziwiKafanye kazi au la utakufa kwa njaa kwa kutgemea Rais atapunguza makali ya maisha
Ahahahahaha!!!Nipe post yangu moja ninayomtaka Halima Mdee na wenzie wafukuzwe bungeni!!
Kwa wasio na akili tu. Narudia kwa wasio na akili tu.Ni mtazamo tu mkuu. Ila kumbuka bila ruhusa ya Rais wa nchi huwezi kutoboa hata uwe na akili kama Albert Einstein.
Hiyo siyo kama kazi yako wewe ya ukarani wa Halmashauri unaomba tu Sekretariati ya ajira
Watu huandaliwa mkuu kuwa best candidateTunaye Hiiti Sillo yupo WHO, Geneva. Kaingia kule wakati Mwele yupo huko ingawa siwezi kujua kama ni juhudi za Mwele au juhudi binafsi kutokana na uzoefu wake wa uDG wa TFDA(ya kipindi kile kabla haijabadilishwa jina)
Labda turudi kwenye sababu za msingi kama kutokuwa na best candidate wengi.
Nani awe the best? Mafi yakoRIP shujaa Magufuli yatasemwa mengi but atabakia kuwa the best of all.
Hongera sana Dr ndugulile
Watu washaibia Nchi vya kutosha unawapeleka huko kufanya nini ?
Ni kama Kenya kwa Raila sasa hivi AU , mtu hana uadilifu wowote just kujulikana unampeleka huko akafanye nini ?
Mambo ya kubebana kwenye hamna kwa JPM hayakuwa na Nafasi .
Si kweli. Rais lazima atoe idhini.Watu hawana akili kweli!
Elimu yake ndiyo iliyomfikisha hapo alipo.
Kule hakuna mambo ya kisiasa, taaluma yake ndiyo iliyomfikisha hapo.
Mambo ya hongera nani sijui hayana maana.
Apewe hongera Dr Ndungulile.
Nani aliibuka bingwa kati ya yule bwana wa Butimba na Magufuli? Ni yule askari unless hukufuatilia vizuri. Magufuli alidhani yule askari atatetemeka!! Wala alibaki imara na akamuambia "umeniinua"Kwenye AVATAR yako nimekumbuka vile huyo afande magereza alivyo shushuliwa😊😊
Magufuli hakuwaga mnafiki alikua na tabia za watu wengi wa Kanda ya ziwa ndio maana magufuli anafanana tabia nyingi na wazee wa kisukuma binafsi Mimi japo Kuna mambo huwa sikukubaliana nae Ila hatuto mpata Kama magufuli..
Wewe ni tabula rasa by 💯 %. Unabisha vitu huvijui wakati sisi ndiyo tumepita huko.Kwa wasio na akili tu. Narudia kwa wasio na akili tu.
.Kama angekuwa hana taaluma hiyo ingethubutu kugombea?
.Ndio maana nimesema kuna maswala ambayo yakifanyika basi tusiweke siasa mbele.
Kwa tarifa yako wewe ndo unaroho mbaya mbele ya lusifaView attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.
Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.
Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Sawa!Wewe ni tabula rasa by 💯 %. Unabisha vitu huvijui wakati sisi ndiyo tumepita huko.
Ila Magu!!View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.
Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.
Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa