Hongera Samia Kum-Endorse Dr Ndugulile; Mtangulizi Wako Aliwazuia Membe, Likwelile na Mulamula Wasiende AU

Lakini usimwamini sana Stuxnet. Anamlaumu Mwamba Magufuli eti aliwatilia mtima nyongo akina Membe wakati huohuo anaunga mkono akina Mdee wafukuzwe Bungeni! Ahahahahaha! Kwani wakibaki hadi mwakani sio ndio falsafa ya rejea hiyo unayosema?
Nipe post yangu moja ninayomtaka Halima Mdee na wenzie wafukuzwe bungeni!!
 
Kwa hiyo sasa hivi unafurahia maisha?

Iambieni hiyo chura kiziwi yenu ipunguze gharama za maisha!

Yani sasa hivi ukitaka kununua kitu mtandaoni kwa dola 300 uwe na laki 9?
Kafanye kazi au la utakufa kwa njaa kwa kutgemea Rais atapunguza makali ya maisha
 
View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.

Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.

Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Kwenye AVATAR yako nimekumbuka vile huyo afande magereza alivyo shushuliwa😊😊

Magufuli hakuwaga mnafiki alikua na tabia za watu wengi wa Kanda ya ziwa ndio maana magufuli anafanana tabia nyingi na wazee wa kisukuma binafsi Mimi japo Kuna mambo huwa sikukubaliana nae Ila hatuto mpata Kama magufuli..
 
Wala hakuna la maana angekuwa Mkenya wakenya wangejaa WHO
Tunaye Hiiti Sillo yupo WHO, Geneva. Kaingia kule wakati Mwele yupo huko ingawa siwezi kujua kama ni juhudi za Mwele au juhudi binafsi kutokana na uzoefu wake wa uDG wa TFDA(ya kipindi kile kabla haijabadilishwa jina)

Labda turudi kwenye sababu za msingi kama kutokuwa na best candidate wengi.
 
Ni mtazamo tu mkuu. Ila kumbuka bila ruhusa ya Rais wa nchi huwezi kutoboa hata uwe na akili kama Albert Einstein.

Hiyo siyo kama kazi yako wewe ya ukarani wa Halmashauri unaomba tu Sekretariati ya ajira
Kwa wasio na akili tu. Narudia kwa wasio na akili tu.
.Kama angekuwa hana taaluma hiyo ingethubutu kugombea?
.Ndio maana nimesema kuna maswala ambayo yakifanyika basi tusiweke siasa mbele.
 
Tunaye Hiiti Sillo yupo WHO, Geneva. Kaingia kule wakati Mwele yupo huko ingawa siwezi kujua kama ni juhudi za Mwele au juhudi binafsi kutokana na uzoefu wake wa uDG wa TFDA(ya kipindi kile kabla haijabadilishwa jina)

Labda turudi kwenye sababu za msingi kama kutokuwa na best candidate wengi.
Watu huandaliwa mkuu kuwa best candidate
 
RIP shujaa Magufuli yatasemwa mengi but atabakia kuwa the best of all.

Hongera sana Dr ndugulile

Watu washaibia Nchi vya kutosha unawapeleka huko kufanya nini ?

Ni kama Kenya kwa Raila sasa hivi AU , mtu hana uadilifu wowote just kujulikana unampeleka huko akafanye nini ?

Mambo ya kubebana kwenye hamna kwa JPM hayakuwa na Nafasi .
Nani awe the best? Mafi yako
 
Watu hawana akili kweli!
Elimu yake ndiyo iliyomfikisha hapo alipo.
Kule hakuna mambo ya kisiasa, taaluma yake ndiyo iliyomfikisha hapo.
Mambo ya hongera nani sijui hayana maana.
Apewe hongera Dr Ndungulile.
Si kweli. Rais lazima atoe idhini.
Unamkumbuka yule Naibu Spika sijui wa bunge (Afrika?) aliyeng'olewa na Magufuli?
Alikataa kumuidhinisha.
Ikala kwake.
Jamaa lilikuwa katili mnooo.
 
Kwenye AVATAR yako nimekumbuka vile huyo afande magereza alivyo shushuliwa😊😊

Magufuli hakuwaga mnafiki alikua na tabia za watu wengi wa Kanda ya ziwa ndio maana magufuli anafanana tabia nyingi na wazee wa kisukuma binafsi Mimi japo Kuna mambo huwa sikukubaliana nae Ila hatuto mpata Kama magufuli..
Nani aliibuka bingwa kati ya yule bwana wa Butimba na Magufuli? Ni yule askari unless hukufuatilia vizuri. Magufuli alidhani yule askari atatetemeka!! Wala alibaki imara na akamuambia "umeniinua"
 
Kwa wasio na akili tu. Narudia kwa wasio na akili tu.
.Kama angekuwa hana taaluma hiyo ingethubutu kugombea?
.Ndio maana nimesema kuna maswala ambayo yakifanyika basi tusiweke siasa mbele.
Wewe ni tabula rasa by 💯 %. Unabisha vitu huvijui wakati sisi ndiyo tumepita huko.
 
View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.

Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.

Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Kwa tarifa yako wewe ndo unaroho mbaya mbele ya lusifa
 
Wewe ni tabula rasa by 💯 %. Unabisha vitu huvijui wakati sisi ndiyo tumepita huko.
Sawa!
Sisi wengine hatukupitia huko. Hatukupata hisani.
Viongozi wetu hawakuwa na roho ya kusifiwa walikuwa wanatimiza wajibu.
Sina shida na mtu anayesifia wajibu wa kiongozi kama hisani.
Nafahamu wajibu wa kiongozi wa juu alioufanya kama wajibu kwa Dr Ndungulile, sio hisani yake.
Angeweza kukataa kutimiza wajibu.
 
View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.

Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.

Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Ila Magu!!
 
Back
Top Bottom