Hongera sana Dr. Rose Muhando

Kwahiyo masumbwe nako wanamwaga phd? Kweli utandawazi bado kidogo na kyela watatoa PhD
 
Amesomea ni ni kuwa dokta? Kuna utapeli mwingi sana huku mtaani
 
🀣.

1. Hicho chuo kipo sehemu gani Marekani?

2. Kukubali kupokea shahada ya heshima [au hata ya kusomea] kutoka vyuo visivyoeleweka, kunaelezea zaidi jinsi wewe ulivyo kuliko hata hiyo diploma mill inayotoa hiyo shahada.

3. Hii GIBU accreditation yake iko wapi?
 
Maswali yako yote majibu yamo ndani ya simu yako, acha ushamba kwani hata ukitumia lugha ya kwenu utapata jibu.
Chuo Kikuu cha Gibraltar, kiko USA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…