Acha kusifu upumbavu yaani kurudisha mipira nyuma ndio unamuona feitoto bonge la mchezaji?Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo,
ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10
Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba la kati linatoboka
Jamaa akiwa uwanjani anafukia fukia mashimo yote pale kati... Akitoka tu hesabu maumivu
Na ndio kilichotokea leo kwenye game ya Tanzania vs Zambia
Mimi ni mashabiki wa Fei ila anakazi kubwa Sana, ya kufanya yaani hata tukiwa na mpira yeye hakuweza kukaa na mpira ata sekunde 10.Ni kweli hana kasi, na hana nguvu lakini huwa ni mzuri sana kwenye kutuliza timu na timu ikawa inacheza bila presha, lakini alipotoka katikati palipwaya kabisa mipira ikawa haitulii ikifika tayari ipo kwa adui
Wewe ndo unafanya watu waonekane Wana chuki na Fei kumbe hamna.. Fei mchezaji mzuri Hilo lipo wazi Ila game ya Leo hajafanya kitu kikubwa kiasi hiki Acha ubishi....Una chuki na Feisal ama pengine humpendi tu
Feitoto ni kibonge.fitness yake ipo chini mno. Kinachofanya a shine ligi ya bongo ni kwa sababu asilimia kubwa ya wachezaji wanaocheza nbcl fitness yao ipo chini mnoKacheze wewe uwe unapeleka mipira mbele unajua Zambia walikuwa wanacheza wangapi nyuma.?
Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo,
ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10
Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba la kati linatoboka
Jamaa akiwa uwanjani anafukia fukia mashimo yote pale kati... Akitoka tu hesabu maumivu
Na ndio kilichotokea leo kwenye game ya Tanzania vs Zambia
Amecheza hovyo tu, huyu mechi kubwa na ngumu hawezi, bora hata Morice Abraham anajitutumua kuliko huyo Feisal.Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo,
ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10
Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba la kati linatoboka
Jamaa akiwa uwanjani anafukia fukia mashimo yote pale kati... Akitoka tu hesabu maumivu
Na ndio kilichotokea leo kwenye game ya Tanzania vs Zambia
Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo,
ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10
Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba la kati linatoboka
Jamaa akiwa uwanjani anafukia fukia mashimo yote pale kati... Akitoka tu hesabu maumivu
Na ndio kilichotokea leo kwenye game ya Tanzania vs Zambia
Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo,
ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10
Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba la kati linatoboka
Jamaa akiwa uwanjani anafukia fukia mashimo yote pale kati... Akitoka tu hesabu maumivu
Na ndio kilichotokea leo kwenye game ya Tanzania vs Zambia
hana lolote lileHuyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu,