Hongera sana Feisal Salum (fei toto), umeonyesha kwamba wewe ni mchezaji muhimu sana, na umeonyesha kwamba unapaswa ucheze kwa dk 80 ama 90

Na amecheza kwa dk 59 tu, ukweli usemwe hata kama hamumpendi, ni mchezaji mzuri na muhimu sana kumtumia
 
Kiukweli kocha kakosea sana kumtoa Feisal na kibu denis,coz kibu alikua anawafanya mabeki wasipande wakati Feisal anatuliza eneo la kati
 
Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu,

ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani,

ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo,

ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10

Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba la kati linatoboka

Jamaa akiwa uwanjani anafukia fukia mashimo yote pale kati... Akitoka tu hesabu maumivu

Na ndio kilichotokea leo kwenye game ya Tanzania vs Zambia
Acha kusifu upumbavu yaani kurudisha mipira nyuma ndio unamuona feitoto bonge la mchezaji?
 
Kocha hakupaswa kumtoa mapema sana
 
Ni kweli hana kasi, na hana nguvu lakini huwa ni mzuri sana kwenye kutuliza timu na timu ikawa inacheza bila presha, lakini alipotoka katikati palipwaya kabisa mipira ikawa haitulii ikifika tayari ipo kwa adui
Mimi ni mashabiki wa Fei ila anakazi kubwa Sana, ya kufanya yaani hata tukiwa na mpira yeye hakuweza kukaa na mpira ata sekunde 10.
Yaani namba 10 Samata alikua ndiye anaye tuliza timu kuliko yeye kiungo wa juu.
Anahitajika afanye mazoezi ikiwezekana mara 3 kwa siku, Level ya AFCON imeonyesha wachezji wetu wa ndani Wana mapungufu makubwa mno.
 
Acha kusifu upumbavu yaani kurudisha mipira nyuma ndio unamuona feitoto bonge la mchezaji?
Kacheze wewe uwe unapeleka mipira mbele unajua Zambia walikuwa wanacheza wangapi nyuma.?
 
Zambia walikuwa na mfumo wa kulinda zaidi baada ya lile goli la Tanzania, na siku zote mpira ukionywesha kwa zile camera za juu mtazamaji unaona rahisi sana kutoa pasi na kupandisha mipira juu, ni kweli kuna muda wanakosea ila sisi hatujui zaidi ya aliye uwanjani
 
Sawa Fei tumekusikia...tutaongea na kocha akuchezeshe dakika zote
 
Kacheze wewe uwe unapeleka mipira mbele unajua Zambia walikuwa wanacheza wangapi nyuma.?
Feitoto ni kibonge.fitness yake ipo chini mno. Kinachofanya a shine ligi ya bongo ni kwa sababu asilimia kubwa ya wachezaji wanaocheza nbcl fitness yao ipo chini mno

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Wapi wewe??
Kaangusha chogo muda wote.
Zaidi ana kiherehere kama ngariba
 
Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu,

ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani,

ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo,

ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10

Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba la kati linatoboka

Jamaa akiwa uwanjani anafukia fukia mashimo yote pale kati... Akitoka tu hesabu maumivu

Na ndio kilichotokea leo kwenye game ya Tanzania vs Zambia

Mpira unaangaliaga ukiwa unakunya unapata stimu za ulanzi [emoji23][emoji23]
Fei vs Zambia hamna cha maana alichofanya
 
Comment ya kimaskini
 
Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu,

ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani,

ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo,

ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10

Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba la kati linatoboka

Jamaa akiwa uwanjani anafukia fukia mashimo yote pale kati... Akitoka tu hesabu maumivu

Na ndio kilichotokea leo kwenye game ya Tanzania vs Zambia
Amecheza hovyo tu, huyu mechi kubwa na ngumu hawezi, bora hata Morice Abraham anajitutumua kuliko huyo Feisal.
 
Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu,

ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani,

ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo,

ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10

Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba la kati linatoboka

Jamaa akiwa uwanjani anafukia fukia mashimo yote pale kati... Akitoka tu hesabu maumivu

Na ndio kilichotokea leo kwenye game ya Tanzania vs Zambia

View: https://m.youtube.com/watch?v=L27fx2qIS74&feature=onebox
 
Huu ubogus ndo unasababisha taifa linaangamia chini ya serikali ya CCM, sio kwamba Chadema wanafaa nao ni ovyo
 
Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu,

ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani,

ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo,

ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10

Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba la kati linatoboka

Jamaa akiwa uwanjani anafukia fukia mashimo yote pale kati... Akitoka tu hesabu maumivu

Na ndio kilichotokea leo kwenye game ya Tanzania vs Zambia

Upo sahihi kabisa….kocha alifanya makosa sana kumtoa feisal na kibu…baada ya hawa wachezaji kutoka mpira haukaa tena mbele tukawa tunashambuliwa tu mfululizo mpka jamaa waka sawazisha.

Kusema ukweli kabisa…kocha hana uwezo na pia sikuona umuhimu wa kumng’ang’ania mwamnyeto.
 
Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu,

ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani,

ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo,

ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10

Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba la kati linatoboka

Jamaa akiwa uwanjani anafukia fukia mashimo yote pale kati... Akitoka tu hesabu maumivu

Na ndio kilichotokea leo kwenye game ya Tanzania vs Zambia
hana lolote lile
 
Feisal alitakiwa atoke kipindi cha kwanza kabisaa alikua anaruka ruka tuu uwanjani, alipokosea kocha ni kumtoa himidi mao badala ya muzamiru na ndio hapo jamaa wakapata upenyo wa kupita kati kati
 
Back
Top Bottom