Hongera sana Feisal Salum (fei toto), umeonyesha kwamba wewe ni mchezaji muhimu sana, na umeonyesha kwamba unapaswa ucheze kwa dk 80 ama 90

Feisal kumbe na wewe upo humu JF
 
Na kuna muda huwezi ona mchango wake hadi atoke, na kama hujaona mchango wake leo basi jua wewe unashabikia majina ya wachezaji kwenye timu na sio timu

Kajituma sana, sema kuna wabaguzi hawatakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…