Hongera sana homeboy kwa kumleta Flora (Mbasha) Henry nyumbani

Status
Not open for further replies.
Jamaa kaamu kuchukua kitu ya mtumba kutoka Dubai badala ya kuaggiza new.kwa maoni yangu inawezekana Florra ana utamu wa uhakika na pia ana uzoefu wa kutosha.Du jamaa ana roho ngumu vyenye Mbasha ajua maungo yote ya Flora
 
Marriage life is so hard to define especially if ur not the one participating the game, I thnk it's not a real time to judge and blame Flora for her decision. Let us look back to our side if real 100% we are complete.
 
Unaruhusiwa kutalikiana lakini sio kuoa, Utaoa tena ama kuolewa kama mmoja wenu kafa
Ta
Unaruhusiwa kutalikiana lakini sio kuoa, Utaoa tena ama kuolewa kama mmoja wenu kafa
kwani maana ya talaka si mmeachana means siyo mwili m1 tena,so kwa nini usioe?
kama utaoa kwa sababu ya kifo means yule mke amefia mikononi mwako
 
Hiyo ndoa haitafika popote koz siyo mpango wa Mungu kutengana yaani ni kama wanaenda kuzini tu
 
Wenye ndoa huwa na maugomvi makubwa ya siri wanayosema hadharani ni machache hatuyajui
 
Mimi si muumini wa utumwa ndugu yangu na wala siwezi kuishi na mwanamke ambaye hatupatani kwa sababu ya sheria za wazungu same hata kama ningekuwa mwanamke
 
Marriage life is so hard to define especially if ur not the one participating the game, I thnk it's not a real time to judge and blame Flora for her decision. Let us look back to our side if real 100% we are complete.
but imagine kizazi kikakosa outstanding role modals in life, its not judgment anyway, ni vile tu unamwazia mtu anapoanguka aliyesimamisha wengi wengi nyuma yake...and so far a born again!!!
 
Mimi si muumini wa utumwa ndugu yangu na wala siwezi kuishi na mwanamke ambaye hatupatani kwa sababu ya sheria za wazungu same hata kama ningekuwa mwanamke
mtumwa mwenyewe kwa uelewa wako finyu seems naongea na mtu usie kijua unachokiongea ni nini

maana hao unaowaita ni watumwa mlango wao ni huo na wamekaidi sheria zake Mungu au huamini Mungu mkuu? kama unamini basi jitafakari tena

hata ukiachana kidini kwa mila zetu kiafrika mwanamke haruhusiwi kuachana na mume na kujiamulia kuolewa sehemu nyingine ili hali mwanaume umeonyesha bado una uhitaji nae hata kama uliteleza mradi kosa lako umelijua na umekiri
 
Hiyo ndoa haitafika popote koz siyo mpango wa Mungu kutengana yaani ni kama wanaenda kuzini tu
sio kama mkuu wanaenda kuzini hata huyu mwanaume ana laana sana maana neno linasema alaaniwe anaekimbilia zinaa
na ukitaka ujue Mungu anasemaje kuhusu mke wa mtu
msome mfalme Daudi kwa mke wa Uria
msome mfalme aliemtaka Sarah Mungu alisemaje juu yao laana hiyo
 
Hapana!! Yan unataka kumaanisha
Din ya kikristo inafuata pesa ama
Juzi kuna mtu alijipiga rirasi akazikwa na kanisa wakati kwenye ukiristo maiti yake hairuhusi kuingia hata kanisani. Ndoa ya kikiristo ni kifo tu ndio huwa kinawatenganisha na huwa wanaapa. Sasa ukiona Mahakama inatenganisha na wachungaji wafungisha ndoa ndio ujue ni mabadiliko na huwa hayatokei kwa watu wote inategemea na huyo anafungisha msimamo wake, na mara nyingi wenye fedha njia zao popote huwa ni rahisi ukilinganisha na kapuku.
 
Kama nilie vile,imeniuma kama vile mie ndo muhusika....inamaana wazazi wao,washenga na marafiki wa karibu wamewaacha kabisa ndoa ikavunjika,nguvu ya msamaha ipp wapi,hata Mungu anachukia talaka,shetani mbaya sana
 
Hii kitu haikuwa na ulazima wa kuletwa jf
Heli walivyoleta na sisi tujue sababu kipind wanaachana au kipind walipokuwa na migogoro walitangaza mno kwenye vyombo vya habar mm naona sawa tu kuileta
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…