Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Na kutamani pia
Eti bado unanitamani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Na kutamani pia
Kweni kamzuia nani kama amewasisitiza mchange ki roho safi shida iko wapi au wewe ni mpumbavu na huna mawasiliano na akili zakoWewe ukisema hiki cha nini wenzako tunasema tutakipata lini.
Ndo tushakipata hivyoo
Na kuchepuka pia hapendi[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Eti bado unanitamani?
Hapana mkuu, mimi binafsi naona kama mtu anayeoa aliyekuwa mke wa mtu atakuwa anajikumbushia vidonda vya zamani tu!Kwani kuna sheria wamevunja? Kipendacho roho jamani.
Marriage life is so hard to define especially if ur not the one participating the game, I thnk it's not a real time to judge and blame Flora for her decision. Let us look back to our side if real 100% we are complete.Ng'wanapagi, that couple; Florah and Emmanuel lived a life of many to learn from them. My last meeting with them was 2013 when they were ministering for the Lord in Arusha gospel crusade, then it came as rumour mills that they were about to break, they struggled to hide it, but it was not on their side, then I got to meet the lady in Dsm one morning somewhere where she was accompanied by another man (may be he is the one to marry the lady), and she decided to file a suit against Mbasha, now she is going to live with another man, very sad...nimeaumia as if she is my relative. I used to count the couple a heroic one but now it is totally set apart!!!
Inahuzunisha atiSong: Jipe Moyo
Artist: Flora Mbasha ft. Emanuel Mbasha
Song: Maisha ya Ndoa
Artist: Flora Mbasha ft. Emanuel Mbasha
wameaibisha kiwango cha juu sana.
TaUnaruhusiwa kutalikiana lakini sio kuoa, Utaoa tena ama kuolewa kama mmoja wenu kafa
kwani maana ya talaka si mmeachana means siyo mwili m1 tena,so kwa nini usioe?Unaruhusiwa kutalikiana lakini sio kuoa, Utaoa tena ama kuolewa kama mmoja wenu kafa
Mimi si muumini wa utumwa ndugu yangu na wala siwezi kuishi na mwanamke ambaye hatupatani kwa sababu ya sheria za wazungu same hata kama ningekuwa mwanamkenaona bado unaota wewe unahesabu kuna ndoa kama hiyo tena ya kikristo inaonekana huijui misingi yake
NIKUULIZE UNAJUA MAANA YA NDOA? Frola anasimamaje katika jamii? uinjilisti unakuwa hivyo? na utaishije kwa kuangalia nani kafanya ndivyo umeambiwa? TOA UJINGA WAKO
CHUKUA NAFASI YA EMMANUEL MBASHA KAMA NI MWANAUME THEN NDO UJIBU ACHA KUSIFIA UJINGA
but imagine kizazi kikakosa outstanding role modals in life, its not judgment anyway, ni vile tu unamwazia mtu anapoanguka aliyesimamisha wengi wengi nyuma yake...and so far a born again!!!Marriage life is so hard to define especially if ur not the one participating the game, I thnk it's not a real time to judge and blame Flora for her decision. Let us look back to our side if real 100% we are complete.
Kumbe hujanielewa mkuu.Kweni kamzuia nani kama amewasisitiza mchange ki roho safi shida iko wapi au wewe ni mpumbavu na huna mawasiliano na akili zako
mtumwa mwenyewe kwa uelewa wako finyu seems naongea na mtu usie kijua unachokiongea ni niniMimi si muumini wa utumwa ndugu yangu na wala siwezi kuishi na mwanamke ambaye hatupatani kwa sababu ya sheria za wazungu same hata kama ningekuwa mwanamke
sio kama mkuu wanaenda kuzini hata huyu mwanaume ana laana sana maana neno linasema alaaniwe anaekimbilia zinaaHiyo ndoa haitafika popote koz siyo mpango wa Mungu kutengana yaani ni kama wanaenda kuzini tu
Nafkri n mtu kutojitambua naHivi taratibu za dini ya kikristo zikoje juu ya hili???..Unaweza kumuacha mke wako wa ndoa na kuoa mwanamke mwingine?
Hapana!! Yan unataka kumaanishaKwa wenye hela inawezekana.
Juzi kuna mtu alijipiga rirasi akazikwa na kanisa wakati kwenye ukiristo maiti yake hairuhusi kuingia hata kanisani. Ndoa ya kikiristo ni kifo tu ndio huwa kinawatenganisha na huwa wanaapa. Sasa ukiona Mahakama inatenganisha na wachungaji wafungisha ndoa ndio ujue ni mabadiliko na huwa hayatokei kwa watu wote inategemea na huyo anafungisha msimamo wake, na mara nyingi wenye fedha njia zao popote huwa ni rahisi ukilinganisha na kapuku.Hapana!! Yan unataka kumaanisha
Din ya kikristo inafuata pesa ama
Heli walivyoleta na sisi tujue sababu kipind wanaachana au kipind walipokuwa na migogoro walitangaza mno kwenye vyombo vya habar mm naona sawa tu kuiletaHii kitu haikuwa na ulazima wa kuletwa jf