Lussadam
JF-Expert Member
- Oct 13, 2007
- 1,341
- 907
Za kanisani huvunjwa kwa Uzinzi.Hii itakuwa ndoa ambayo itafungishwa na mkuu wa wilaya/mkoa au ni yake kimila, ndoa ya kanisani ni mara moja tu ktk maisha ya mkristo. Kwa uelewa wangu,sijui km mke/mme akifariki sheria za dini ya kikristo huwa zinasemaje.
Ngoja wataalamu waje watudadavulie... Anyway, hongereni kwa hatua nzuri mliyofikia maharusi watarajiwa.