Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
hongera sana Jeshi letu imara sana la polisi. mmefanya kazi nzuri sana iliyotukuka kwa niaba ya wananchi, na waTanzania wote kwa ujumla.
teknologia, intelijensia na weledi mliotumia kuyabaini, kuyashughulikia na kuyadhibiti magenge ya kihalifu yanayo panga na kukusudia kuvuruga amani na utulivu wa waTanzania ni wa kiwango cha juu sana cha kimataifa...
ama kwa hakika, Jeshi letu ni la kisasa sana, katika kazi na majukumu yao ya kulinda amani katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika jiji la mbeya ambako wahalifu walikusudia kujikusanya na kuleta fujo huko...
kazi nzuri na ya mfano mliyoifanya kwa weledi na uadilifu mkubwa sana, inaonekana na kwakweli inafaa kuungwa mkono na kupongezwa na waTanzania wote..
kwa niaba ya waTanzania wote, niseme tu, hongera sana Jeshi letu la polisi. waTanzania wana Imani kubwa nanyi katika jukumu muhimu la kulinda amani na utulivu wa mama Tanzania. Asanteni sana.🐒
Mungu Ibariki Tanzania