Hongera sana Jeshi letu imara sana la Polisi

ntajitahid nikipata wasaa,

hata hivyo mipango na magenge ya kihalifu ni Lazima yadhibitiwe mapema kabla ya kuleta athari mbalimbali ikiwa ni pamoja na uvunjifu wa amani na utulivu, uharibifu, majeraha au maafaa 🐒
Kwanza kuwa 'enlightened' na utakayoyasema nayo yatakuwa 'enlightened'.
 
Sema nyie mnajua siasa asee😄
nikiwa nyumbani uarabuni naitwa Assad, yaani Simba kwa kuswahili,

si unaona hata yule SIMBA wa kule Syria, Bashar al-Assad majamaa ya magharibi wanajaribu kumuangusha lakini yupo imara zaid kadiri muda unavyokwenda, ndio kama kama wengine tulivyo sasa....,

huku nang"ang"ana na wananchi kwa kazi kubwa ya maendeleo,

huku nadeal na setbacks za wazandiki katika siasa,

na bado kusaidia na kuelezea ukweli, kinaga ubaga kazi kubwa na nzuri sana, inayo fanywa na kiongozi wetu shupavu, kipenzi cha waTanzania, mwenyekiti wa ccm Taifa na Amer Jeshi Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, comrade Dr.Samia Suluhu Hassan wa Tanzania:pedroP:
 
hongera sana Jeshi letu imara sana la polisi. mmefanya kazi nzuri sana iliyotukuka kwa niaba ya wananchi, na waTanzania wote kwa ujumla.

teknologia, intelijensia na weledi mliotumia kuyabaini, kuyashughulikia na kuyadhibiti magenge ya kihalifu yanayo panga na kukusudia kuvuruga amani na utulivu wa waTanzania ni wa kiwango cha juu sana cha kimataifa...

ama kwa hakika, Jeshi letu ni la kisasa sana, katika kazi na majukumu yao ya kulinda amani katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika jiji la mbeya ambako wahalifu walikusudia kujikusanya na kuleta fujo huko...

kazi nzuri na ya mfano mliyoifanya kwa weledi na uadilifu mkubwa sana, inaonekana na kwakweli inafaa kuungwa mkono na kupongezwa na waTanzania wote..

kwa niaba ya waTanzania wote, niseme tu, hongera sana Jeshi letu la polisi. waTanzania wana Imani kubwa nanyi katika jukumu muhimu la kulinda amani na utulivu wa mama Tanzania. Asanteni sana.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Vipi wale wabakaji waliotumwa na afande wameshapatikana wote?
Au hapo jeshi bado linafanya upelelezi?
 
ni vizuri kujiepusha na mijadala ya mambo yaliyo kwenye hatua mabilmbali za kisheria na kiuchunguzi,

ni furaha iliyoje kwa waTanzania,
kwa jeshi la polisi mkoani mbeya kudhibiti kikamilifu magenge ya kihalifu yaliyokusudia kuvuruga amani jijini hapo...

Asanti sana Polisi mbeya , waTanzania wanajivunia kazi yenu nziri hapo mbeya :KasugaYeah:
 
hongera sana Jeshi letu imara sana la polisi. mmefanya kazi nzuri sana iliyotukuka kwa niaba ya wananchi, na waTanzania wote kwa ujumla.

teknologia, intelijensia na weledi mliotumia kuyabaini, kuyashughulikia na kuyadhibiti magenge ya kihalifu yanayo panga na kukusudia kuvuruga amani na utulivu wa waTanzania ni wa kiwango cha juu sana cha kimataifa...

ama kwa hakika, Jeshi letu ni la kisasa sana, katika kazi na majukumu yao ya kulinda amani katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika jiji la mbeya ambako wahalifu walikusudia kujikusanya na kuleta fujo huko...

kazi nzuri na ya mfano mliyoifanya kwa weledi na uadilifu mkubwa sana, inaonekana na kwakweli inafaa kuungwa mkono na kupongezwa na waTanzania wote..

kwa niaba ya waTanzania wote, niseme tu, hongera sana Jeshi letu la polisi. waTanzania wana Imani kubwa nanyi katika jukumu muhimu la kulinda amani na utulivu wa mama Tanzania. Asanteni sana.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Asiruhusiwe mtu yeyote kuharibu amani ya Nchi Kwa Kisingizio Cha Demokrasia.

Naunga mkono hoja
 
Kuna nini tena?
magenge ya kihalifu yaliivamia mbeya,

na sasa jeshi imara na la kisasa la polisi nchini, limefanikiwa kuyadhibiti kwa kiasi kikubwa sana na hali ya ulinzi na usalama imeimarishwa mbeya:pulpTRAVOLTA:
 
hongera sana Jeshi letu imara sana la polisi. mmefanya kazi nzuri sana iliyotukuka kwa niaba ya wananchi, na waTanzania wote kwa ujumla.

teknologia, intelijensia na weledi mliotumia kuyabaini, kuyashughulikia na kuyadhibiti magenge ya kihalifu yanayo panga na kukusudia kuvuruga amani na utulivu wa waTanzania ni wa kiwango cha juu sana cha kimataifa...

ama kwa hakika, Jeshi letu ni la kisasa sana, katika kazi na majukumu yao ya kulinda amani katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika jiji la mbeya ambako wahalifu walikusudia kujikusanya na kuleta fujo huko...

kazi nzuri na ya mfano mliyoifanya kwa weledi na uadilifu mkubwa sana, inaonekana na kwakweli inafaa kuungwa mkono na kupongezwa na waTanzania wote..

kwa niaba ya waTanzania wote, niseme tu, hongera sana Jeshi letu la polisi. waTanzania wana Imani kubwa nanyi katika jukumu muhimu la kulinda amani na utulivu wa mama Tanzania. Asanteni sana.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kwaio DC UMEKUJA UJIPONGEZE MWENYEWE BAADA YA KUZALAULIWA KWA ULICHO KIFANYA ANY WAY POLITICISATION OF ARMY INAFANYIKA IPASAVYO
 
stori na porojo si muhimu sana kwenye suala la ulinzi na usalama wa watu na malazi yao....

hapo hakuna mzaha wala huruma kwenye hilo,
waTanzania wana haki ya amani na utulivu,

na serikali sikivu ya ccm chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan, imewekeza pakubwa sana kwenye hilo, na kwahivyo,

ole wake anaepanga kuhujumu au kuhatarsha amani na utulivu wa wananchi kwa nama yoyote ile. utakabiliwa na kudhibitiwa vizuri mno na jeshi letu la polisi ambalo ni la kisasa zaidi :pulpTRAVOLTA:
 
Leo nyuma ya keyboards, kesho mbele mitaani. Kamwe usipuuze nguvu za social media. Muulize Ruto
Ruto alifanywa nini, na nani, lini hentleman? :pulpTRAVOLTA:
wako wap sasa na ruto yuko wap? mambo mengine ni kutimia akili sio mihemko

yaana utumie social media kuporomosha matusi ndio ulete changes, kweli?

mtaani wapi lwa mfano wenye mihemko na ghadhabu wanaweza kukusanyika na kuchochea mageuzi kama sio ujambazi na uporaki tu?:pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom