Hongera sana Jeshi letu imara sana la Polisi

Hongera sana Jeshi letu imara sana la Polisi

Jeshi linalozuia maadhimisho ya siku ya vijana Duniani kwa chama kimoja tu. Hongereni sana
jeshi letu la kisasa la police nchini, halitasita hata kidogo kuchukua hatua za kuzuia au kudhibiti uhalifu mapema bila kusubiri madhara, uharibifu na pengine maafa yatakayosababishwa na magenge ya kihalifu, kama kule mpeya 🐒
 
Ntalishukuru jeshi letu utekaji ukiisha na yule mama afande wa Dodoma akikamatwa
amani na utulivu uliopo Tanzania ni matokeo ya kazi nzuri sana ya majeshi yetu imara na ya kisasa ya ulinzi na usalama...

hata hivyo,
dosari na kasoro ndogo ndogo za kihalifu zinazotokea zinashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria, na Jeshi la police liko makini sana kuhakikisha wahalifu wote wanakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria kulingana na uhalifu wao....

ni muhimu sana kuwatia moyo Jeshi letu la police kwa kazi nzuri iliyotukuka, licha ya uhalifu mwingi kufanyika kwa kificho sana 🐒
 
Nikajua yule afande alotuma wabakaji kakamatwa🥲 kumbe takataka
ni muhimu kutoa fursa ya kutosha kwa Jeshi imara la police nchini kukamilisha taratibu muafaka za kiuchunguzi na kisheria ili kutenda haki kwa watuhumiwa wote lakini pia kwa muathirika mahususi 🐒

kutoa hitimisho, lawama na hukumu kwa kitu ambacho kinafanyiwa kazi si ungwana hata kidogo na haikubaliki katika haki...

ni muhimu kushirikiana na jeshi la polisi ikiwa una taarifa muhimu kukamilisha uchunguzi kwa haraka 🐒
 
Shida Yako ujaweka number ya simu, hapo mwanangu teuzi nje nje,
Mwenyezi Mungu ameniteua kuwa mtumishi wa wananchi bure,

mengine ni ziada tu, na si muhimu hata kidogo kwa mchapakazi hodari kama mimi 🐒
 
hongera sana Jeshi letu imara sana la polisi. mmefanya kazi nzuri sana iliyotukuka kwa niaba ya wananchi, na waTanzania wote kwa ujumla.

teknologia, intelijensia na weledi mliotumia kuyabaini, kuyashughulikia na kuyadhibiti magenge ya kihalifu yanayo panga na kukusudia kuvuruga amani na utulivu wa waTanzania ni wa kiwango cha juu sana cha kimataifa...

ama kwa hakika, Jeshi letu ni la kisasa sana, katika kazi na majukumu yao ya kulinda amani katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika jiji la mbeya ambako wahalifu walikusudia kujikusanya na kuleta fujo huko...

kazi nzuri na ya mfano mliyoifanya kwa weledi na uadilifu mkubwa sana, inaonekana na kwakweli inafaa kuungwa mkono na kupongezwa na waTanzania wote..

kwa niaba ya waTanzania wote, niseme tu, hongera sana Jeshi letu la polisi. waTanzania wana Imani kubwa nanyi katika jukumu muhimu la kulinda amani na utulivu wa mama Tanzania. Asanteni sana.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
🚮
 
Watawala wanaogopa wananchi wasiamshwe usingizini.
wananchi hawa hawa ambao wanaipenda sana serikali yao sikivu ya CCM, chini ya kiongozi wao kipenzi Dr Samia Suluhu?

ama wananchi gani unawazungumzia gentleman, kwamba eti watawala wanaogopa wananchi?🐒

mbona Tz wananchi na serikali ni dam dam kama Pete na kidole 🐒
 
Ukipata nafasi na hasa kama lugha ya Kiingereza inapanda Google 'Plato's allegory of the cave' na utakuwa 'enlightened'.
ntajitahid nikipata wasaa,

hata hivyo mipango na magenge ya kihalifu ni Lazima yadhibitiwe mapema kabla ya kuleta athari mbalimbali ikiwa ni pamoja na uvunjifu wa amani na utulivu, uharibifu, majeraha au maafaa 🐒
 
Moja kati ya jeshi bora duniani. Kongole kwenu polisi. Mnanintelijensia kali duniani nzima hakuna, hata wale SWAT Wa Marekani hawaoni ndani
 
Attachments

  • images (22).jpg
    images (22).jpg
    25.4 KB · Views: 1
amani na utulivu uliopo Tanzania ni matokeo ya kazi nzuri sana ya majeshi yetu imara na ya kisasa ya ulinzi na usalama...

hata hivyo,
dosari na kasoro ndogo ndogo za kihalifu zinazotokea zinashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria, na Jeshi la police liko makini sana kuhakikisha wahalifu wote wanakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria kulingana na uhalifu wao....

ni muhimu sana kuwatia moyo Jeshi letu la police kwa kazi nzuri iliyotukuka, licha ya uhalifu mwingi kufanyika kwa kificho sana 🐒
NImusahihishe tu amani yetu ni tabia yetu watanzania tumezidi upole na hatupendi vurugu,unataka kuniambia askari wetu ni welevu kuliko wa south africa au New york kwenye high ranks of crime
 
mim wangemkata kigogo na mange kimambi kwa matusi wanayomdharirisha mama Samia ningefurahi sana.
kuzuia na kudhibiti uhalifu ni muhimu kuliko kusubiri uharibifu na pengine maafa ndipo kuanza kuhangaika na watu,

Jeshi imara la police nchini lipo katika kuhakikisha watu, makazi, mali na kazi zao zinafanyika kwa amani na utulivu, na hakuna muhalifu wa kuhangaisha wengine au kuhatarisha Amani 🐒
 
NImusahihishe tu amani yetu ni tabia yetu watanzania tumezidi upole na hatupendi vurugu,unataka kuniambia askari wetu ni welevu kuliko wa south africa au New york kwenye high ranks of crime
Jeshi letu la police lina nguvu, weledi na la kisasa zaidi katika kuzuia na kudhibiti uhalifu ukilinganisha na majeshi katika nchi ulizo taja na ndio maana huko uhalifu ni wa kutisha ukilinganisha na Tz..

hata hivyo,
tegemeo kubwa la uimara wa amani na utulivu nchini ni katika umadhubuti wa majeshi yetu ya kisasa kudhibiti uhalifu mipaka, kwenye makazi, kazi na biashara za waTanzania....

zaidi ya hapo ni maoni na mtazamo tu 🐒
 
Moja kati ya jeshi bora duniani. Kongole kwenu polisi. Mnanintelijensia kali duniani nzima hakuna, hata wale SWAT Wa Marekani hawaoni ndani
huo ndio ukweli japo wakejeli 🐒

kwa Tanzania,
msititizo ni wa Jeshi letu imara la police nchini ni kwamba, uhalifu hauna nafasi kabisa katika kutishia au kuvuruga amani ya Tanzania 🐒
 
Kuna jamaa yangu mmoja ana jina kama lako, sema yeye ni mtu asili ya karatu ,babati au mbulu😜😜😜
 
Kuna jamaa yangu mmoja ana jina kama lako, sema yeye ni mtu asili ya karatu ,babati au mbulu😜😜😜
aaha kumbe, isije ikawa ni dr slaa

mimi ni wa Baghdad,
Capital City of Iraq gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom