jeshi letu la kisasa la police nchini, halitasita hata kidogo kuchukua hatua za kuzuia au kudhibiti uhalifu mapema bila kusubiri madhara, uharibifu na pengine maafa yatakayosababishwa na magenge ya kihalifu, kama kule mpeya ๐Jeshi linalozuia maadhimisho ya siku ya vijana Duniani kwa chama kimoja tu. Hongereni sana
amani na utulivu uliopo Tanzania ni matokeo ya kazi nzuri sana ya majeshi yetu imara na ya kisasa ya ulinzi na usalama...Ntalishukuru jeshi letu utekaji ukiisha na yule mama afande wa Dodoma akikamatwa
ni muhimu kutoa fursa ya kutosha kwa Jeshi imara la police nchini kukamilisha taratibu muafaka za kiuchunguzi na kisheria ili kutenda haki kwa watuhumiwa wote lakini pia kwa muathirika mahususi ๐Nikajua yule afande alotuma wabakaji kakamatwa๐ฅฒ kumbe takataka
๐ฎhongera sana Jeshi letu imara sana la polisi. mmefanya kazi nzuri sana iliyotukuka kwa niaba ya wananchi, na waTanzania wote kwa ujumla.
teknologia, intelijensia na weledi mliotumia kuyabaini, kuyashughulikia na kuyadhibiti magenge ya kihalifu yanayo panga na kukusudia kuvuruga amani na utulivu wa waTanzania ni wa kiwango cha juu sana cha kimataifa...
ama kwa hakika, Jeshi letu ni la kisasa sana, katika kazi na majukumu yao ya kulinda amani katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika jiji la mbeya ambako wahalifu walikusudia kujikusanya na kuleta fujo huko...
kazi nzuri na ya mfano mliyoifanya kwa weledi na uadilifu mkubwa sana, inaonekana na kwakweli inafaa kuungwa mkono na kupongezwa na waTanzania wote..
kwa niaba ya waTanzania wote, niseme tu, hongera sana Jeshi letu la polisi. waTanzania wana Imani kubwa nanyi katika jukumu muhimu la kulinda amani na utulivu wa mama Tanzania. Asanteni sana.๐
Mungu Ibariki Tanzania
wananchi hawa hawa ambao wanaipenda sana serikali yao sikivu ya CCM, chini ya kiongozi wao kipenzi Dr Samia Suluhu?Watawala wanaogopa wananchi wasiamshwe usingizini.
ntajitahid nikipata wasaa,Ukipata nafasi na hasa kama lugha ya Kiingereza inapanda Google 'Plato's allegory of the cave' na utakuwa 'enlightened'.
NImusahihishe tu amani yetu ni tabia yetu watanzania tumezidi upole na hatupendi vurugu,unataka kuniambia askari wetu ni welevu kuliko wa south africa au New york kwenye high ranks of crimeamani na utulivu uliopo Tanzania ni matokeo ya kazi nzuri sana ya majeshi yetu imara na ya kisasa ya ulinzi na usalama...
hata hivyo,
dosari na kasoro ndogo ndogo za kihalifu zinazotokea zinashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria, na Jeshi la police liko makini sana kuhakikisha wahalifu wote wanakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria kulingana na uhalifu wao....
ni muhimu sana kuwatia moyo Jeshi letu la police kwa kazi nzuri iliyotukuka, licha ya uhalifu mwingi kufanyika kwa kificho sana ๐
kuzuia na kudhibiti uhalifu ni muhimu kuliko kusubiri uharibifu na pengine maafa ndipo kuanza kuhangaika na watu,mim wangemkata kigogo na mange kimambi kwa matusi wanayomdharirisha mama Samia ningefurahi sana.
Jeshi letu la police lina nguvu, weledi na la kisasa zaidi katika kuzuia na kudhibiti uhalifu ukilinganisha na majeshi katika nchi ulizo taja na ndio maana huko uhalifu ni wa kutisha ukilinganisha na Tz..NImusahihishe tu amani yetu ni tabia yetu watanzania tumezidi upole na hatupendi vurugu,unataka kuniambia askari wetu ni welevu kuliko wa south africa au New york kwenye high ranks of crime
huo ndio ukweli japo wakejeli ๐Moja kati ya jeshi bora duniani. Kongole kwenu polisi. Mnanintelijensia kali duniani nzima hakuna, hata wale SWAT Wa Marekani hawaoni ndani