M Magobe T JF-Expert Member Joined Mar 19, 2008 Posts 5,602 Reaction score 3,845 Aug 12, 2024 #61 Tlaatlaah said: sawa haina shida, ni muhimu sana kujiepusha na kujitenga kabisa na wahalifu wa aina yoyote humu nchini Click to expand... Yote hayo ya nini au ndiyo hukumu ambayo umeshapitisha?
Tlaatlaah said: sawa haina shida, ni muhimu sana kujiepusha na kujitenga kabisa na wahalifu wa aina yoyote humu nchini Click to expand... Yote hayo ya nini au ndiyo hukumu ambayo umeshapitisha?
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Aug 12, 2024 Thread starter #62 Magobe T said: Yote hayo ya nini au ndiyo hukumu ambayo umeshapitisha? Click to expand... hukumu kwa wahalifu ni kuwakabili na kuwadhubiti vilivyo kwa nguvu na kisheria tu, na hakuna namna nyingine
Magobe T said: Yote hayo ya nini au ndiyo hukumu ambayo umeshapitisha? Click to expand... hukumu kwa wahalifu ni kuwakabili na kuwadhubiti vilivyo kwa nguvu na kisheria tu, na hakuna namna nyingine
BoyOfGod JF-Expert Member Joined Jan 3, 2019 Posts 1,055 Reaction score 1,572 Aug 13, 2024 #63 Tlaatlaah said: jeshi letu imara na la kisasa ni kwajili ya kupambana na kudhibiti uhalifu na sio kwaajili ya kupambana na kigogo, kenchi wala mbao🐒 Click to expand... 😁
Tlaatlaah said: jeshi letu imara na la kisasa ni kwajili ya kupambana na kudhibiti uhalifu na sio kwaajili ya kupambana na kigogo, kenchi wala mbao🐒 Click to expand... 😁