Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
- Thread starter
- #221
Ni bora asingejibu tuu kama Majaliwa Jana. Maana majibu yake yameonyesha katiba anaisoma lakini haielewi.Hakujibu swali huyu. Ni wapi alipata hii dhana kwamba kwa kuwa Serikali inatoa pesa kwa Bunge na mahakama basi Serikali inastahili kuminya uhuru wa mihimili hii muhimu miwili? Na hizi pesa si zake wala za Serikali bali ni za walipa kodi nchini ambao tunataka kuona mihimili hii miwili inakuwa huru bila kuingiliwa kwa namna yoyote ile na Serikali. Majibu yake yote ni majibu uchwara. Hongera sana Pasco ila nimeshangaa sana maswali mengi muhimu hayakuulizwa labda maswali hayo yalikataliwa yasiulizwe. Hapa Majanga tu hana jipya hata chembe.
Hajui hata ukomo wa madaraka yake, hapo ndio kauli ya Lema inapopata mashiko.
Lema ni kweli ana maono