Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

HIVI ANALIPA BUNGE NA MAHAKAMA HELA NANI?
Walipa Kodi Wenye Nchi na Wenye Katiba Inayotaka Iheshimiwe. Bunge Linaipangia Serikali Jinsi ya Kuzitumia, Magufuli anadhani Yeye Ndiye anayetoa Fedha Kwa Kuwa Hata Bdgeti haiheshimu, anachukua Pesa za Mikopo ya Wanafunzi na Madawa anaenda Kunulia Ndege kwa Ushamba tu, halafu Kesho anawaambia wanafunzi wasimpush! Kisha wanaanza Kuwaambia Wengine hawajafikia Kiwango cha Kupewa Mikopo Kwani hawasomi Sayansi ya Mafuta ya Korosho!
 
Sammi Awami, Kutumia dhana ya maendeleo kama njia kukandamiza demokrasia.

Tido Mhando, Suala la katiba mpya.

Pasco Mayala, Mamlaka ya rais katika mihimili mitatu ya nchi.

Katibu wa chama cha waandishi, Uwasilishwaji wa dharura wa miswada ya habari bungeni pasi na kuwashilikisha wadau au kuwapa muda mchache. Na pia suala la rushwa hasa la mil 10.

Na kidoooogo yule mama aliyeuliza suala la ajira pamoja na yule wa Tv 1 wa suala la afya.

Ukitoa hawa, waandishi wengi ama sijui ni uoga au weledi ni zero hawajauliza maswali ya kusema unamuuliza rais. Mwandishi unakwenda kumuuliza rais juu ya habari za wadada wavaa nusu uchi na panya road kweliiiiii???..

Mwingine ananyanyuka anauliza swali ambalo limeshatolewa ufafanuz kabisa badala ya kutafuta njia ya kupata ufafanuzi wa ndani zaidi. Hii inaniaminisha kuamini kwamba waandishi wetu wanakalili maswali badala ya kutafuta namna ya kujenga hoja.
 
Mbona hamsema na walichokiuliza hao mnaowasifia........Au mnadhani wote tumefuatilia hayo maongezi huko......???
 
Ahsante sana
Muandishi wa kujitegemea umeuliza maswali ya msingi sana bila kuogopa wala kujikombeleza upate uteuzi wala hujataka kuwa bias..big up bro
Ila wengne wengi naona wameenda kumshangaa mfalme...
Nilitegemea watu wamchallenge rais kwenye muswada katili huu wa vyombo vya habari.mpaka wa tz na malawi.uhusiano na moroco.na mengne mengi
 
Bora hao waandishi/watangazaji uchwara wote wangeondolewa na kuachwa Pasco tu ambaye angeuliza maswali ambayo Watanzania wengi tungependa kuyasikia yakiulizwa. Hongera Pasco omba 90 minutes za uso kwa uso nyie wawili tu lakini wakishaona humu JF tunakusifia sana watakuingiza kwenye kundi la adui yao.
Naomba Musisahau Sio Pasco wa JF, Ni Pasco Mayalla wa Kiti moto cha Enzi zileeeee! Huyu wa JF Ni stooge wa Lumumba!
 
Katibu wa wahariri, swali kuhusu mswada wa vyombo vya habari...swali nimekuwa gumu kwa rais kuliko maswali yote....limemfanya Rais atoke povu.....na kupanic na kushindwa kujibu
 
Ahsante sana
Muandishi wa kujitegemea umeuliza maswali ya msingi sana bila kuogopa wala kujikombeleza upate uteuzi wala hujataka kuwa bias..big up bro
Ila wengne wengi naona wameenda kumshangaa mfalme...
Nilitegemea watu wamchallenge rais kwenye muswada katili huu wa vyombo vya habari.mpaka wa tz na malawi.uhusiano na moroco.na mengne mengi
Nahisi aliyemwalika atatumburiwa!
 
Hakika nimefurahishwa sana na Mwandishi huyu Pascal Mayalla wa kipekee aliyemuuliza swali Rais lenye msingi na hata rais kajibu kwa ubabaishaji. Natafuta clip au mwenye nayo aiweke.

Kwanza kaanza kwa kuitaji JamiiForums kwa kusema ni mwanachama mwandamizi wa JamiiForums.

Pasco safari nyingine ukipata mwaliko wa ikulu utuage wanajamii wenzako ili tukupe na maswali yetu.
Mfano mimi nilitaka ukamuulize sichonze z
ile milion arobaini za kila kijiji anatugawia lini?
 
wameuliza maswali mengi hivi wameshindwa kuuliza kuwa why Rais unateua watu kutoka nje ya utumishi wa umma na kuwapa vyeo kama UDAS NA DED, mbona swali zuri sana ila Mayala kauliza swali zuri sana hongera kwa wana jamii forums tumepata mwakilishi aliye itendea vyema nafasi yake
 
Back
Top Bottom