TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Walipa Kodi Wenye Nchi na Wenye Katiba Inayotaka Iheshimiwe. Bunge Linaipangia Serikali Jinsi ya Kuzitumia, Magufuli anadhani Yeye Ndiye anayetoa Fedha Kwa Kuwa Hata Bdgeti haiheshimu, anachukua Pesa za Mikopo ya Wanafunzi na Madawa anaenda Kunulia Ndege kwa Ushamba tu, halafu Kesho anawaambia wanafunzi wasimpush! Kisha wanaanza Kuwaambia Wengine hawajafikia Kiwango cha Kupewa Mikopo Kwani hawasomi Sayansi ya Mafuta ya Korosho!HIVI ANALIPA BUNGE NA MAHAKAMA HELA NANI?