Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Atajibu je wakati anajua kabisa kashakiuka KATIBA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safiiii jamaa kauliza bila uwoga kuhoji anatumia mamlaka yapi cha ajabu anajibu kwa vijembe
Acha uongo, maswali yake hayakujibiwa kama unavyotaka kutuaminisha. Niliona mkuu akizunguka mbuyu tu!Kauliza maswali mazuri yaliyojibiwa kirahisi mno.
Kasema maslahi ya nchi kwanza mengine baadae, inamaana hata kama tunavunja Katiba tuendelee tu?