Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Mimi ningeshangaa, kuna jamaa nilikaa naye tunafuatilia kwenye tv akaniambia swali limemkera mheshimiwa.Wewe ulitegemea yale maswali yangejibika kweli.
Nimemsikia Pasco Mayalla akiuliza swali kwamba Rais amepata wapi mamlaka ya kuwaambia Wabunge (legislature) na Mahakama (Judiciary) waombe ruhusa kwake watakapo kusafiri?
Hoja ya Pasco ni kwamba kuna separation of powers yaani Executive, Judiciary na Legislature ambazo zinatakiwa zifanye kazi bila kuingiliana. Hilo ni sawa ila Pasco kweli hafahamu kwamba Rais wa Jamhuri ni mkuu wa dola na chini ya dola ndio unapata executive arm, judiciary arm na legisleture?
Hajui kwamba Rais wa Jamhuri ni Head of Government na wakati huohuo ni Head of the State?
HahahaMaana ya Mayala ni "njaa" kwa kisukuma,amesema Magufuli
Kwahiyo atampa chakula?Maana ya Mayala ni "njaa" kwa kisukuma,amesema Magufuli
Baadhi ya waandishi ni mizigo kwa kweli.Fao fao fao fao fao
Juma imebidi avunge ila Pascal Mayalla kanyoosha nduki la ukweliSafiiii jamaa kauliza bila uwoga kuhoji anatumia mamlaka yapi cha ajabu anajibu kwa vijembe