Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Hiyo ni sababu moja inayofanya aogope kusafiri nchi za nje kwa kujua fika kule hakuna kupewa maswali ulale nayo na kuchagua waandishi awatakao ili kuulizwa maswali uchwara, pia lugha Mkuu inagomba sana.

 
[HASHTAG]#pasco[/HASHTAG]
Naona umeamua kuinyea kambi. My brother, sahau uteuzi...

Ila hongora
 
Ni ccm wote hawajui hilo, hata maprofesa wenye kadi za kijani hawajui kitu.
 
Kwa kweli Pascal Mayalla kauliza swali zuri
Nampongeza
Ndio umuhimu wa shule
Tatizo waandishi wetu wengi
Hawana shule
 
Big up bro nimeridhika sana na swali lako lakini mh ametuanghusha sana akutoa jibu
 
Nisipo mpongeza pasco nitakuwa na roho mbaya.
Big up sana pasco, umeuliza swali zuri sana
 
Pongezi za dhati kwa Paschal Mayala kauliza swali zuri sana ingawa la pili halijajibiwa inavyotakiwa.
 
Magufuli alitoa majibu mazuri kwa pasco!
 
Pongezi za dhati kwa Paschal Mayala kauliza swali zuri sana ingawa la pili halijajibiwa inavyotakiwa.
Swali la Pili la Pascal Mayalla halikujibiwa kabisa. Na swali la kwanza lilijibiwa kihuni huni hivi.
 
Ndiyo maana Luna msemo wa kama hujui bora unyamaze, huyu jamaa kabla hajawahi kuhojiwa na waandishi wengi tuliamini atakuwa vizuri upstairs ila mpaka hapa tumeishapata jibu kuwa ni mweupe. Halafu hawa wasiyojielewa waona kaweza.
Kwa waandishi wa Kimataifa hawezi kabisa, ukizingatia hata lugha yenyewe Kiswahili nacho kina Walakini. Sijui lugha gani yupo vizuri sasa, labda kisukuma.
Kabisa mkuu. Pamoja na Waandishi wengi wao walikuwa wakiuliza maswali yasiyo na tija na yasiyohitaji kufikiri bado kachemka vibaya. Kwa Upstairs kaprove failure kabisa. Sasa tumejua uwezo wake wa kujibu hoja. Internationally anaweza chemka vibaya, ukiangalia asivyojua lugha yoyote kiufasaha ndiyo shida maana inapunguza kujiamini.
 
Hongera kaka mayala kwa kuuliza swalu muhimu na la msingi kuliko waandishi wote waliokuwa kwenye press ya Leo

Japo swali lako limemshinda kulijibu ila ujumbe umefika. Waandishi wengine ondoeni uoga na unafiki uliza maswali ya Msingi.
 
Mkuu kumuombea haitasaidia kitu ni sawa na kumuombea mwanao afaulu mtihani wakati unajua ni mtoro wa shule.
Tusisitize kuwa mkuu apewe Semina elekezi hata kwa muda wa miezi mitatu ili ajue nini wajibu wake, mipaka na ukomo wa madaraka yake na ile katiba hakuiapa kama kasuku bali kuitekekeza pia ajue yapo mamlaka ya kumuondoa kama haiheshimu.
Inavyoonyesha yeye anajua kuwa kwa cheo kile pale ndio mwisho, hakuna wa kumgusa ingawa hiyo inasababishwa na waliomzunguka kutetemeka wamuonapo.
Lazima ajue wanatetemeka kwa vile wengi ni wachafu
 
Hata humu JF pia anachangia bila ya unafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…