BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Hiyo ni sababu moja inayofanya aogope kusafiri nchi za nje kwa kujua fika kule hakuna kupewa maswali ulale nayo na kuchagua waandishi awatakao ili kuulizwa maswali uchwara, pia lugha Mkuu inagomba sana.
Hivi mkuu BAK, kama DU kashindwa kujibu maswali ya mtu kama Paskal anayeuliza kwa nidhamu na ka woga kidogo ataweza kweli kukabiliana na waandishi makini kama wa CNN au BBC ambao huwa hawana woga wala unafiki kama alivyokuwa anajibishana nao Ben? Naanza kujisikia aibu kabla hajaenda