Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Magufuli must go to hell and suffer the agonies therein...yan yeye anaamini kwa kuwa ana mamlaka ya kukusanya kodi basi hilo linamfanya kuwa juu ya katiba ya nchi na kuwa juu ya mihimili mingine ya dola, hii ni gharama kubwa sana kwa nchi kuwa na kiongozi wa namna hii, Mungu aturehemu!
 
Huyu mwana jf mwenzetu pascko mayala hajasomea tsj viwango vyake vimenitisha duhhh hakika mayala umetutoa kimasomaso jf tukuombee upige mzigo mbele huko hapa si saizi yako utachanganywa si unaona ulivyo changanywa na hukujibiwa ukachanganywa fasta na akina TD na RB pole
 

Mie naongelea alichojibu wewe unaniletea Katiba inavyosema, seriously? Haya uliyocopy hapa ndio alichojibu mheshimiwa?
 
Tunamshukuru Gwiji La Siasa Mbowe Kwa Kutengeneza Nyumbu Waaminifu
 
Hyu ndie mwanaume niliemwona mle ndani Kati ya washiriki woooote... Big up Pascal you played yo part well.
 
Huyu huyu Pasco ninaemchukia kumbe wakati mwingine anaakili....Hongera Pasco ila ninaswali bado utapewa udc kweli au uded maana umempiga Mkuu Wa kaya chini ya belt
Ngoja nimtete kidogo. Kwenye utangulizi kasema waandishi binafsi wahusishwe kwenye ziara za nje na wanaweza kujigharamia wenyewe. Mbembeleza Udc au U DED hawezi kuwa na courage hiyo maana hata kwenda Simiyu kwenye Mwenge anataka apate mshiko. Ameonyesha kuwa sio watu wote wana njaa kama Mtela Mwampamba au Makonda.
 
Maswali na majibu leo kwa magufuli


Mayalla amemuuliza Rais amepata wapi mamlaka ya kuingilia mhimili wa bunge wakati kuna separation of power kati ya mihimili mitatu ya dola? Pia akauliza Rais amepata wapi mamlaka ya kupiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa wakati Katiba inaruhusu mikutano hiyo? Je Rais haoni kama anavunja katiba aliyoapa mwenyewe kuitetea?

Bahati mbaya maswali hayo hayakupata majibu stahiki. Rais ameanza kueleza habari za upatikanaji wa fedha katika mihimili ya dola. Kwa kifupi Rais ameacha maswali aliyoulizwa akajitungia maswali yake mengine na kujijibu.

Hapa kazi tu....
 

Pascal Mayala pia ni mwanasheria. Amefanya degree ya LLB pale UDSM
 
swali la mayalla ni gumu mnoo. kama alilowahi kuuliza kibonde kwa jakaya
 
Kuna kusoma hupate kazi na kunakusoma ufanye kaI pasco. Anafanya kazi sio apate kazi kwa maana hiyo ni mtaalam wa Habari

Nipo hapa. Toronto mitaa ya west mitaa ya jane and finch watu wanampongeza Pasco
 
Kama kawaida yenu, hamuishi kuropoka!
 
Ukiiangalia Nchi ilivyo haiitaji hata maswali labda labda ingekua kwa Rais mgeni alietoka Nje huyu tunae hapa kila siku Vumbi analiona angetoa maelezo tuu maana hata hayo maswali hajajibu wa TBC kaishia kuuliza unapendelea nini mkuu..
hivi sijui kwanini asingemjibu KUBANA MATUMIZI!
 
Laiti Kama Wewe Na Lema Mngekuwa Ndo mungu ? Sipati Picha
 
Hiyo ni sababu moja inayofanya aogope kusafiri nchi za nje kwa kujua fika kule hakuna kupewa maswali ulale nayo na kuchagua waandishi awatakao ili kuulizwa maswali uchwara, pia lugha Mkuu inagomba sana.
Hivi kumbe aliwapa wahariri maswali walale nayo? Man, you're something else nakuambia!!
 
Bado huamini kwamba Rais anapokuwa mkuu wa dola ni mkubwa kuliko wengine? Nadhani tunahitaji elimu kujua tofauti ya Head of Government na Head of State. Kwa hiyo unataka kumlinganisha Rais na Jaji Mkuu? Hawalingani mzeee
Suala si ukubwa kila chombo kina madaraka yake na mipaka yake ndio msingi wa swali
 
Pasco kuwa Muungwana Mkuu kwa kuja na ku Acknowledge na kutoa Shukran kwetu wana JF
Ona sasa Mjadala Mzima kule wa Mkutano wa JPM ume Cease watu tuko Busy kwenye huu uzi kuona Jinsi ulivyoleta Faraja leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…